Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adele akiri kuwa mtoto wake si shabiki wa muziki wake

Licha ya muziki wake kupendwa na idadi kubwa ya mashabiki mbalimbali duniani, mwanamuziki wa Uingereza, Adele amekiri kuwa mtoto wake wa kiume si shabiki wa muziki wake. Akiwa kwenye mahojiano na BBC Radio 2, Adele aliulizwa kama huwa anamwimbia mtoto wake wa miaka mitatu aitwaye Angelo, alijibu kuwa hua anamwiambia lakini hapendi nyimbo zake. Mshindi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Faiza akiri kuwa bado anampenda baba wa mtoto wake Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi

Mama wa mtoto wa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph “Sugu” Mbilinyi , Faiza Ally amekiri kuwa bado anampenda baba wa mwanaye licha ya kuwa hawana uhusiano tena. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Faiza amepost picha ya Sugu akiwa amebeba mtoto na kushare hisia zake juu ya mzazi mwenzake, post ambayo aliifuta muda mfupi baadaye. Hiki […]

 

11 years ago

CloudsFM

JAFARAI AFUNGUKA KUWA MUZIKI WAKE UMETIKISIKA BAADA YA KIFO CHA ALBERT MANGWEA

Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka kundi la wateule jafarai jafarhymes amefunguka kuwa muziki wake umekuwa katika hali ‘tete’baada ya kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake wa muziki huo marehemu Albert Mangwea’Ngwea’ ambaye leo ametimiza mwaka mmoja tangu afariki dunia.Jafarai muziki wake umesimama kutokana na kuwa na mazoea ya kufanya kazi zake kwa kushirikiana na msanii huyo, ngoma ya mwisho ya Jafarai kutoka ilikua Blaa Blaa iliyotoka zaidi ya mwaka mmoja uliopita.Jafarai huyu hapa...

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba ana majibu ya kwanini hapati tuzo licha ya kuwa mchango wake kwenye muziki unafahamika

Msanii Barnaba anafahamika sio tu kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba live na kupiga vyombo, bali hata uandishi wa nyimbo. Ameshawaandikia hits wasanii wengi wakubwa. Lakini pamoja na hayo yote bado hajabahatika kushinda tuzo, na yeye binafsi ana majibu ya kwanini anadhani hajapata tuzo. “Kila kitu kina wakati,wataelewa tu uzuri mashabiki wenyewe wanaelewa nani mtunzi […]

 

11 years ago

Bongo Movies

SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.


Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.

Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.

“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...

 

10 years ago

GPL

DAVIDO AKIRI KUWA NA MTOTO WA KIKE

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido'. Lagos, Nigeria LICHA ya hapo nyuma kukana kwamba alikuwa anategemea kupata mtoto kutoka kwa mpenzi wake, hatimaye mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Davido amekiri kwamba ana mtoto wa kike ambaye amempata nje ya ndoa. Davido akimbusu binti yake. Katika sherehe ya kutegemea kuzaliwa mtoto huyo kutoka kwa Sophie Momodu, mwimbaji huyo alionyesha ushirikiano wote akitaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AMWIMBIA SHABIKI WAKE WIMBO WA SIKU YA KUZALIWA

Diamond Platnumz akimwimbia shabiki wake Osama Mwita kutoka Tanzania  wimbo wa siku ya kuzaliwa siku ya Jumamosi Desemba 6, 2014 kwenye sherehe ya Uhuru ilizofanyika katika hotel ya Sheraton Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani.Diamond akiendelea kumwimbia shabiki wake huyo ambaye usiku wa Desemba 6, 2014 ilikua ni siku yake ya kuzaliwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mama akiri kuwaua watoto wake 3

Mama mmoja mjini London amekiri kuwaua watoto wake watatu kwa sababu ya ulemavu wao wa uti wa mgongo nchini Uingereza

 

9 years ago

Bongo5

Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza

Adele, Mwimbaji kutoka Uingereza amerudi kwa kishindo baada ya kuweka rekodi mpya ya Youtube kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’ uliotoka Ijumaa Oct.23. Ndani ya saa 24 toka video ya wimbo huo iwekwe kwenye mtandao wa Youtube imetazamwa mara milioni 25, na kuvunja rekodi iliyowekwa na Taylor Swift na Kendrick Lamar ambao collabo yao ‘Bad Blood’ […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani