JAFARAI AFUNGUKA KUWA MUZIKI WAKE UMETIKISIKA BAADA YA KIFO CHA ALBERT MANGWEA
Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka kundi la wateule jafarai jafarhymes amefunguka kuwa muziki wake umekuwa katika hali ‘tete’baada ya kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake wa muziki huo marehemu Albert Mangwea’Ngwea’ ambaye leo ametimiza mwaka mmoja tangu afariki dunia.
Jafarai muziki wake umesimama kutokana na kuwa na mazoea ya kufanya kazi zake kwa kushirikiana na msanii huyo, ngoma ya mwisho ya Jafarai kutoka ilikua Blaa Blaa iliyotoka zaidi ya mwaka mmoja uliopita.Jafarai huyu hapa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUMATI WA WAJITOKEZA KUMKUMBUKA MANGWEA MWAKA BAADA YA KIFO CHAKE
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-tbqUI0THa5g/VTDZ7d9g1NI/AAAAAAABLy4/Gwb18HlInQ4/s72-c/lulu-pic.jpg)
LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-tbqUI0THa5g/VTDZ7d9g1NI/AAAAAAABLy4/Gwb18HlInQ4/s1600/lulu-pic.jpg)
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBS0-0Ni0-E/U4OU1O1o5QI/AAAAAAAFlQs/Mz4xStem7eo/s72-c/unnamed+(66).jpg)
TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
11 years ago
Dewji Blog27 May
Kumbukumbu ya Kifo cha Mangwea Juni 28, Samaki Samaki Morogoro
Mangwea enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale
MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki Samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.
Akizungumza na mtando huu , Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ alisema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert –...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LvDVQzCM3iuYO7UFTjnUFu-BwMg*KGeb6K-Tua3wHehsow5b7gL9WBwHbsGYfqGZAApCFSUVJ1ltIgFgXTAnKJG/AlbertMangwair.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA MEI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
9 years ago
Bongo527 Oct
Adele akiri kuwa mtoto wake si shabiki wa muziki wake
10 years ago
CloudsFM20 Nov
ALLY KIBA AFUNGUKA MADAI YA KUTOMTUMIA R KELLY KAMA FURSA KWENYE MUZIKI WAKE
Mkali wa ngoma ya Mwana DSM, Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya One 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa barani Afrika waliteuliwa na kwenda nchini Marekani wakakaa studio moja na msanii wa kimataifa R Kelly, ambaye aliwaandikia ngoma ya Hands Across The World na Wakai Record.
Ndani ya ngoma hiyo kuna sauti za wasanii kama 2face, Ali Kiba, Amani, Navio, JK, Movaizhaleine, Fally Ipupa. Project hiyo ilisimamiwa na Rock Star 4000, na Sony Music.
Sasa zengwe limeibuka hivi...