Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAVIDO AKIRI KUWA NA MTOTO WA KIKE

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido'. Lagos, Nigeria LICHA ya hapo nyuma kukana kwamba alikuwa anategemea kupata mtoto kutoka kwa mpenzi wake, hatimaye mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Davido amekiri kwamba ana mtoto wa kike ambaye amempata nje ya ndoa. Davido akimbusu binti yake. Katika sherehe ya kutegemea kuzaliwa mtoto huyo kutoka kwa Sophie Momodu, mwimbaji huyo alionyesha ushirikiano wote akitaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akiri Kuwa Waigizaji Wengi wa Kike Wanajiuza!!!

Muigizaji  mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.

“Tatizo ni kwamba wasanii tumekutana kila mmoja ana tabia zake na ni ngumu kujua undani wa mtu kwa kumtazama mara moja,...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Davido a-share picha mpya za mtoto wake wa kike zinazomuonesha vizuri sura

Ukiachilia mbali Diamond Platnumz wa Tanzania na rapper AKA wa Afrika Kusini, Davido ni staa mwingine wa Afrika aliyepata mtoto hivi karibuni na anajivunia kuwa BABA. Davido na mama wa mwanaye Davido ambaye ni miezi mitatu imepita toka apate mtoto wa kike, amekuwa akishare na followers wake picha za mwanaye, ikiashiria kuwa ni jinsi gani […]

 

9 years ago

Bongo5

Faiza akiri kuwa bado anampenda baba wa mtoto wake Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi

Mama wa mtoto wa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph “Sugu” Mbilinyi , Faiza Ally amekiri kuwa bado anampenda baba wa mwanaye licha ya kuwa hawana uhusiano tena. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Faiza amepost picha ya Sugu akiwa amebeba mtoto na kushare hisia zake juu ya mzazi mwenzake, post ambayo aliifuta muda mfupi baadaye. Hiki […]

 

9 years ago

Bongo5

Adele akiri kuwa mtoto wake si shabiki wa muziki wake

Licha ya muziki wake kupendwa na idadi kubwa ya mashabiki mbalimbali duniani, mwanamuziki wa Uingereza, Adele amekiri kuwa mtoto wake wa kiume si shabiki wa muziki wake. Akiwa kwenye mahojiano na BBC Radio 2, Adele aliulizwa kama huwa anamwimbia mtoto wake wa miaka mitatu aitwaye Angelo, alijibu kuwa hua anamwiambia lakini hapendi nyimbo zake. Mshindi […]

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yaya akiri kumtesa mtoto UG

Jolly Tumuhirwe alikiri mbele ya mahakama nchini Uganda kwamba alimtesa mtoto mdogo lakini akamuomba jaji kumsamehe

 

10 years ago

BBCSwahili

kijakazi akiri kumnyanyasa mtoto Kenya

Inadaiwa kuwa msichana huyo alikuwa akimlazimisha mvulana huyo kumramba sehemu zake za siri wakati mama yake anapoondoka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani