Akiri kuwaua watu 42 nchini Brazil
Polisi nchini Brazil wamemkamata mwanaume aliyekiri kuwaua watu 42 katika kipindi cha miaka kumi mjini Rio de Janeiro kwa sababu alipenda kuua
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Mama akiri kuwaua watoto wake 3
Mama mmoja mjini London amekiri kuwaua watoto wake watatu kwa sababu ya ulemavu wao wa uti wa mgongo nchini Uingereza
10 years ago
BBCSwahili11 Oct
Mashua yazama na kuwaua watu 9 Guinea
Mashua moja imezama kwenye mto moja nchini Guinea ambapo watu tisa wameaga dunia huku wengine kadha wakiwa hawajulikani waliko.
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
Jengo laporomoka na kuwaua watu Nigeria
Watu kadhaa wahofiwa kufariki mjini Lagos Nigeria baada ya jengo moja linalohusishwa na muhubiri mashuhuri kuanguka.
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
Waasi wa ADF wadaiwa kuwaua watu 20 DRC
watu wanaokisiwa kuwa wanachama wa kundi la waasi kutoka Uganda wamefanya mashambulizi nchini DRC na kuwaua watu 20
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Boko Haram ladaiwa kuwaua watu laki moja
Sasa imebainika kuwa wanamgambo wa kiislamu kazkazini mwa Nigeria waliwaua zaidi ya watu laki moja katika jimbo la Borno.
5 years ago
BBCSwahili16 Feb
Pele: Mchezaji maarufu wa soka nchini Brazil asema hali yake afya ni jambo la kawaida kwa watu wenye umri kama wake
Pele, aliyekuwa mchezaji soka maarufu Brazil amezungumza kwa mara ya kwanza tangu mwanawe alipodai afya yake huenda ikawa kizuizi cha kuwa nyumbani na kusema hali yake ya afya ni jambo la kawaida kwa mtu mwenye umri kama wake.
10 years ago
GPLAL SHABAAB WADAI KUWAUA POLISI ZAIDI YA 20 NCHINI KENYA
Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Wanamgambo wa Al Sbaab wamekuwa wakitishia hali ya usalama nchini Kenya daaba ya kudai kuwaua askari zaidi ya 20 na kujeruhi mmoja baada ya kuwepo kwa mapigano makali kati ya Polisi na Wanamgambo wa Al Shabaab, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Wizara ya Usalama wa Taifa nchini Kenya imethibitisha kuwa askari mmoja amejeruhiwa wakati wa shambulizi la Wanamgambo wa kundi la Al Shabaab katika kijiji...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
BRAZIL 2014: Kina Neymar wa Tanzania nchini Brazil
>Wakati Watanzania wakiamini kuwa mzao yeyote wa watoto nchini Brazil ana uhusiano na mchezo wa soka, kumbe kuna Watanzania wengi waliopata bahati ya kuchanganya damu kwa kuzaa na wanawake wa Brazil.
10 years ago
Bongo507 Mar
Mtuhumiwa wa Ugaidi nchini Marekani akiri asingekamatwa angemuua Obama
Mtu mmoja anayetuhumiwa kutaka kushambulia mji mkuu wa Marekani Washington DC, aliomba kituo cha televisheni kimoja kumtembelea mahabusu na alipohojiwa na mwandishi wa habari kama asingekamatwa alisema alisema angehakikisha risasi inaingia kichwani kwa Obama. Mwandishi wa kituo cha televisheni (WXIX-TV) alidai kuwa mtuhumiwa huyo, Christopher Lee Cornell alipiga simu kutoka jela ya Kentucky ambako anashikiliwa na […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania