AL SHABAAB WADAI KUWAUA POLISI ZAIDI YA 20 NCHINI KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnnul87d0RU2DaXV7g4zOVCAhYNc*F020BPTYZH9OE2rGZx9-v0wqt30bNgyGku4FFXNn2YJAxiXh6O-KeylmxSk/122.jpg)
Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Wanamgambo wa Al Sbaab wamekuwa wakitishia hali ya usalama nchini Kenya daaba ya kudai kuwaua askari zaidi ya 20 na kujeruhi mmoja baada ya kuwepo kwa mapigano makali kati ya Polisi na Wanamgambo wa Al Shabaab, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Wizara ya Usalama wa Taifa nchini Kenya imethibitisha kuwa askari mmoja amejeruhiwa wakati wa shambulizi la Wanamgambo wa kundi la Al Shabaab katika kijiji...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Polisi 2 wauawa na Al-Shabaab Kenya
10 years ago
BBCSwahili26 May
Polisi wapambana na Al shabaab Kenya
10 years ago
Mtanzania27 May
Al Shabaab waua polisi 25 Kenya
NAIROBI, KENYA
KUNDI la wana mgambo wa Al Shabaab la Somalia, linadaiwa kuwaua polisi 25 wa Kenya jana.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao walivamia magari ya polisi katika eneo la Yumbis wilayani Fafi, Kaunti ya Garissa.
Hadi jana jioni, hakukuwa na taarifa inayoeleza waliko polisi walionusurika baada ya shambulio hilo la kushtukiza.
Taarifa zilizochapishwa na gazeti la Daily Nation, zilisema maofisa watatu walionusurika shambulio hilo walisema magari manne ya polisi yaliteketezwa na wanamgambo...
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Al Shabaab ladai kuwaua wanajeshi 10
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Al Shabaab ladai kuwaua askari wa Ethiopia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KWPY3KRntMw1ZMVdkloCGb3ULGT4Pmq3kiy1Qga7VZF8EbnvWXETWLmwWKRbYhUNKpsfUzreixs3i56lQrSmprxf5yBUBxtR/mandera.jpg)
WATU 14 WAUAWA NA AL-SHABAAB NCHINI KENYA
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Al Shabaab wadai kushambulia AU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uCeLa4uwiH-*T2Ax-120AZOitRMRhQ2*V2fj2vPfdofFpv5ETO8*kuVSdgIQcRcG9OeqiZE-1MOxDFQucM2RcKPBeWSQldgX/150402121414_garissa_640x360_bbc_nocredit.jpg?width=650)
AL SHABAAB WAUWA 147 CHUO KIKUU CHA GARRISA NCHINI KENYA
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Al-Shabaab wadai kumuua mbunge Somalia