Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Al Shabaab waua polisi 25 Kenya

Uhuru_M_Kenyatta_685841119NAIROBI, KENYA
KUNDI la wana mgambo wa Al Shabaab la Somalia, linadaiwa kuwaua polisi 25 wa Kenya jana.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao walivamia magari ya polisi katika eneo la Yumbis wilayani Fafi, Kaunti ya Garissa.
Hadi jana jioni, hakukuwa na taarifa inayoeleza waliko polisi walionusurika baada ya shambulio hilo la kushtukiza.
Taarifa zilizochapishwa na gazeti la Daily Nation, zilisema maofisa watatu walionusurika shambulio hilo walisema magari manne ya polisi yaliteketezwa na wanamgambo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Al shabab waua polisi 2 Kenya

Maafisa 2 wa polisi wa Kenya wameuawa katika shambulizi la wapiganaji kutoka kundi la Kiislamu al-Shabab kutoka Somalia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi 2 wauawa na Al-Shabaab Kenya

Watu 5 miongoni mwao maafisa wawili wa polisi wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu la kutegwa ardhini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wapambana na Al shabaab Kenya

Maafisa wa polisi nchini Kenya wapambana na Wanamgambo wa Al shabaab

 

10 years ago

GPL

AL SHABAAB WADAI KUWAUA POLISI ZAIDI YA 20 NCHINI KENYA

Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Wanamgambo wa Al Sbaab wamekuwa wakitishia hali ya usalama nchini Kenya daaba ya kudai kuwaua askari zaidi ya 20 na kujeruhi mmoja baada ya kuwepo kwa mapigano makali kati ya Polisi na Wanamgambo wa Al Shabaab, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Wizara ya Usalama wa Taifa nchini Kenya imethibitisha kuwa askari mmoja amejeruhiwa wakati wa shambulizi la Wanamgambo wa kundi la Al Shabaab katika kijiji...

 

10 years ago

BBCSwahili

POLISI WAUA INSLINGTON , LONDON

Polisi wa kitongoji cha Islington, wamempiga risasi na kumuua mwanamume mmoja.

 

10 years ago

Dewji Blog

Polisi waua wakihami kituo

DSC016461

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).

Na Nathaniel Limu, Singida

MKULIMA mkazi wa kijiji cha Mitundu tarafa ya Itigi wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,Esther Salumba (30) amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na polisi wakati wa vurugu za kuvamia kituo kidogo cha polisi kilichopo kijijini hapo.

Esther alipigwa risasi kwenye paja na mguu wa kulia ambapo alivunja damu nyingi na zilizopelekea kifo chake papo...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waua mtuhumiwa Arusha

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasMTUHUMIWA namba mbili wa ujambazi wa kuua na kupora wanawake jijini hapa kwa kutumia pikipiki, Wenceslaus Matei (32) amekufa kufuatia majeraha aliyoyapata wakati akijibizana risasi na Polisi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Magaidi waua watu 6 Kenya

Polisi mjini Nairobi Kenya wamedhibitisha watu 6 wameauawa baada ya shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani