Polisi waua wakihami kituo
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKULIMA mkazi wa kijiji cha Mitundu tarafa ya Itigi wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,Esther Salumba (30) amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na polisi wakati wa vurugu za kuvamia kituo kidogo cha polisi kilichopo kijijini hapo.
Esther alipigwa risasi kwenye paja na mguu wa kulia ambapo alivunja damu nyingi na zilizopelekea kifo chake papo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Jul
Majambazi waua 7 kituo cha Polisi
ASKARI wanne na raia watatu wameuawa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa majambazi kuvamia Kituo cha Polisi cha Sitakishari kilichopo Ukonga katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.
10 years ago
CloudsFM22 Jan
Majambazi wavamia kituo, waua polisi wawili
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi liko katika msako mkali, huku Mkuu wa jeshi hilo, IGP, Ernest Mangu akitangaza donge nono la Sh milioni 20 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo na silaha.
Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu kutoka eneo la...
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
10 years ago
CloudsFM31 Dec
10 years ago
Mtanzania27 May
Al Shabaab waua polisi 25 Kenya
NAIROBI, KENYA
KUNDI la wana mgambo wa Al Shabaab la Somalia, linadaiwa kuwaua polisi 25 wa Kenya jana.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao walivamia magari ya polisi katika eneo la Yumbis wilayani Fafi, Kaunti ya Garissa.
Hadi jana jioni, hakukuwa na taarifa inayoeleza waliko polisi walionusurika baada ya shambulio hilo la kushtukiza.
Taarifa zilizochapishwa na gazeti la Daily Nation, zilisema maofisa watatu walionusurika shambulio hilo walisema magari manne ya polisi yaliteketezwa na wanamgambo...
10 years ago
Habarileo14 Dec
Polisi waua mtuhumiwa Arusha
MTUHUMIWA namba mbili wa ujambazi wa kuua na kupora wanawake jijini hapa kwa kutumia pikipiki, Wenceslaus Matei (32) amekufa kufuatia majeraha aliyoyapata wakati akijibizana risasi na Polisi.
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Al shabab waua polisi 2 Kenya
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
POLISI WAUA INSLINGTON , LONDON
9 years ago
MichuziAskari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.