WATU 14 WAUAWA NA AL-SHABAAB NCHINI KENYA
Maofisa wa polisi wakiwa eneo la tukio lilipotokea shambulio lililoua watu 14 usiku wa kuamkia leo. Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Mamlaka husika huko Mandera yathibitisha. Taswira kutoka Kijiji cha Soko Mbuzi lilipotokea shambulio.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Al shabaab:Watu 3 wauawa Wajir, Kenya
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Polisi 2 wauawa na Al-Shabaab Kenya
11 years ago
BBCSwahili26 May
Wanajeshi wa Kenya wauawa na Al Shabaab
10 years ago
StarTV02 Apr
Watu 6 wauawa kufuatia shambulizi Kenya
Takriban watu sita wameuawa baada ya watu watano wanaodaiwa kufinika nyuso zao kushambulia chuo kikuu cha Garrissa Kaskazini mashariki mwa Kenya.
Watu hao wanadaiwa kuingia katika taasisi hiyo mwendo wa saa kumi asubuhi wakati ambapo waislamu walikuwa wakifanya sala yao ya alfajiri.
Hatahivyo maafisa wa polisi wanasema kuwa shambulizi hilo lilifanyika mwendo wa saa kumi na moja unusu.
Mwandishi wa BBC mjini humo anasema kuwa walinzi wawili waliuawa katika lango la chuo hicho huku maafisa...
11 years ago
Habarileo07 Jul
Watu 29 wauawa katika mashambulizi Kenya
WATU wenye silaha wameua watu 29 katika mashambulizi mawili tofauti eneo la Pwani ya Kenya.
10 years ago
GPLBASI LA ABIRIA LAVAMIWA KENYA, WATU 28 WAUAWA
11 years ago
BBCSwahili23 Mar
Watu wawili wauawa ndani ya kanisa kenya
11 years ago
BBCSwahili19 May
Watu 17 wauawa nchini Mali
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Watu 28 wauawa nchini China