Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 6 wauawa kufuatia shambulizi Kenya

Takriban watu sita wameuawa baada ya watu watano wanaodaiwa kufinika nyuso zao kushambulia chuo kikuu cha Garrissa Kaskazini mashariki mwa Kenya.

Watu hao wanadaiwa kuingia katika taasisi hiyo mwendo wa saa kumi asubuhi wakati ambapo waislamu walikuwa wakifanya sala yao ya alfajiri.

Hatahivyo maafisa wa polisi wanasema kuwa shambulizi hilo lilifanyika mwendo wa saa kumi na moja unusu.

Mwandishi wa BBC mjini humo anasema kuwa walinzi wawili waliuawa katika lango la chuo hicho huku maafisa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

4 wauawa katika shambulizi Kenya

Watu 4 wanahofiwa kufariki katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa katika gari moja karibu na kituo cha polisi mjini Nairobi

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 5 wauawa kufuatia maandamano Niger

Watu watano wameuawa nchini Niger, ikiwa ni siku ya tatu ya maadamano ya kupinga kuchapishwa kwa kibonzo cha mtume Mohammed

 

11 years ago

Habarileo

Watu 29 wauawa katika mashambulizi Kenya

WATU wenye silaha wameua watu 29 katika mashambulizi mawili tofauti eneo la Pwani ya Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al shabaab:Watu 3 wauawa Wajir, Kenya

Maafisa wa polisi nchini Kenya wanasema kuwa takriban watu 3 wameuawa katika mji wa kazkazini wa Wajir,

 

10 years ago

GPL

WATU 14 WAUAWA NA AL-SHABAAB NCHINI KENYA

Maofisa wa polisi wakiwa eneo la tukio lilipotokea shambulio lililoua watu 14 usiku wa kuamkia leo. Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Mamlaka husika huko Mandera yathibitisha. Taswira kutoka Kijiji cha Soko Mbuzi lilipotokea shambulio.… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu wawili wauawa ndani ya kanisa kenya

Watu wawili wameuawa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa mjini Mombasa nchini kenya.

 

10 years ago

GPL

BASI LA ABIRIA LAVAMIWA KENYA, WATU 28 WAUAWA

Polisi wa kenya (Picha na Maktaba). Habari kutoka Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya zinasema kuwa, abiria 28 wameuawa na wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kuvamia basi walimokuwa wakisafiria leo alfajiri. Habari zaidi zinasema wavamizi hao huenda ni wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabab. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema wavamizi hao walikuwa wa asili ya kisomali na waliwaua abiria ambao si Waislamu. Jambo...

 

9 years ago

BBCSwahili

9 wauawa kwenye shambulizi Somalia

Shambulizi la kujitoa mhanga kusini mwa Somalia limewaua takriban watu 9 katika kituo kimoja cha kutoa mafunzo ya kijeshi.

 

11 years ago

BBCSwahili

50 wauawa katika shambulizi Afghanistan

Ripoti zinasema kuwa takriban watu 50 wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea katika soko moja mashariki mwa Afghanistan

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani