Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 5 wauawa kufuatia maandamano Niger

Watu watano wameuawa nchini Niger, ikiwa ni siku ya tatu ya maadamano ya kupinga kuchapishwa kwa kibonzo cha mtume Mohammed

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Watu 6 wauawa kufuatia shambulizi Kenya

Takriban watu sita wameuawa baada ya watu watano wanaodaiwa kufinika nyuso zao kushambulia chuo kikuu cha Garrissa Kaskazini mashariki mwa Kenya.

Watu hao wanadaiwa kuingia katika taasisi hiyo mwendo wa saa kumi asubuhi wakati ambapo waislamu walikuwa wakifanya sala yao ya alfajiri.

Hatahivyo maafisa wa polisi wanasema kuwa shambulizi hilo lilifanyika mwendo wa saa kumi na moja unusu.

Mwandishi wa BBC mjini humo anasema kuwa walinzi wawili waliuawa katika lango la chuo hicho huku maafisa...

 

10 years ago

StarTV

Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi.

Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .

Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.


Ghasia Burundi

Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.

Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.

viagra online pharmacy in australia BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 2 wauawa katika maandamano Burundi

Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO MAKUBWA KUFUATIA JINAI ZA POLISI WA MAREKANI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI

Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusiUbaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.Pamoja na hayo suala ambalo katika miaka ya hivi karibuni limekuwa likiakisiwa zaidi, ni ukatili usio na ukomo wala mpaka wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika jambo ambalo limekuwa likitia huzuni kila siku ndani ya nchi hiyo. Katika malalamiko makubwa kufuatia kuuawa mikononi mwa polisi mzungu, Mmarekani mmoja mweusi asiye na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano Ethiopia:Tisa wauawa

Wanafunzi wapatao tisa wameuawa wakati wa maandamano ya siku kadha nchini Ethiopia

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lawaua watu 38 nchini Niger

Wapiganaji wa kundi la Boko Haram kutoka Nigeria wamewaua watu 38 katika shambulio katika vijiji viwili kusini mwa Niger.

 

10 years ago

Vijimambo

JK atuma rambirambi kufuatia vifo vya watu 12

Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Joel Bendera, kufuatia vifo vya watu 12 na majeruhi 44 katika ajali iliyotokea mkoani hapa.

“Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa za vifo vya watu 12 waliopoteza maisha papo hapo na kusababisha simanzi kubwa kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki zao, huku taifa likipoteza nguvu kazi muhimu kwa maendeleo yake kutokana na ajali za barabarani,” alisema.

Aliwaomba wote waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo...

 

11 years ago

CloudsFM

WATU 10 WATIWA MBARONI NA POLISI KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA JIJINI MWANZA

Polisi jijini Mwanza imelazimika kutumia mabomu ya machozi kufuatia vurugu za baaadhi ya wafanyabiashara wadogo maaarufu kama machinga na watoto wa mitaani wakipinga kupinga zoezi la kuhamishwa eneo la Makoroboi walilokuwa wakifanyia biashara hapo awali.
Zoezi hili limesababisha wafayabiashara mbalimbali kufunga biashara zao na wengine kupoteza mizigo kutokana na vurugu hizo huku idadi kubwa ya wananchi wakishindwa kuendelea na shuguli zao

Nia aina ya vurugu zilizo tokea kwa takribani masaa...

 

10 years ago

Michuzi

watu wili wadaiwa kupoteza maisha kufuatia ajali ya basi la Ruksa

Basi la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili  T 273 ACX llililokuwa likitokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65 kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita mchanaPichani juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko lilifika eneo hilo na kuwachukuwa waliojeruhiwa  na kuwapeleka katika hospitali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani