MAANDAMANO MAKUBWA KUFUATIA JINAI ZA POLISI WA MAREKANI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI
Ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.Pamoja na hayo suala ambalo katika miaka ya hivi karibuni limekuwa likiakisiwa zaidi, ni ukatili usio na ukomo wala mpaka wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika jambo ambalo limekuwa likitia huzuni kila siku ndani ya nchi hiyo. Katika malalamiko makubwa kufuatia kuuawa mikononi mwa polisi mzungu, Mmarekani mmoja mweusi asiye na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
POLISI WA MAREKANI WAENDELEZA UKATILI DHIDI YA RAIA WEUSI
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
George Floyd: Vifo 11 vilivyosababisha maandamano dhidi ya polisi Marekani
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Jinsi Wamarekani weusi wanavyokabiliwa kisheria?
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kifo cha Floyd: Wamarekani weusi wasema 'hawako salama'
10 years ago
Vijimambo
GWAJIMA AZIRAI AKIHOJIWA NA POLISI, NI KUFUATIA MANENO YA KASHFA DHIDI YA KADINALI PENGO




Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amezirai Ijumaa...
5 years ago
CCM Blog03 Jun
MAANDAMANO YA KULAANI UKATILI WA POLISI YA MAREKANI YAFANYIKA KENYA NA NIGERIA
