George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani
Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani
Wakati Donald Trump alipotoa onyo lake , pengine hakufikiria kwamba atalazimika kuishi na hali ngumu kama inayoendeelea nchini Marekani.
5 years ago
BBCSwahili31 May
Kifo cha George Floyd: Maandamano yafanyika miji tofauti Marekani licha tahadhari ya kutotoka nje kutangazwa.
Amri ya kutotoka nje imetangazwa katika miji kadhaa nchi Marekani, kukabiliana na ghasia zilizosababishwa na kilo cha mtu mweusi aliyekamatwa na polisi.
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
George Floyd: Vifo 11 vilivyosababisha maandamano dhidi ya polisi Marekani
Kifo cha George Floyd, ambacho video zake zilisambaa zikionyesha polisi akimkaba shingoni mwake na baada ya muda mfupi akafariki. Raia weusi wako katika hatari ya kuuwawa mara tatu zaidi ya watu weupe, takwimu zinaeleza.
5 years ago
CCM Blog31 May
MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI, SABABU NA HATARI ZAKE
Marekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo dhidi ya raia mweusi.Katika kipindi cha siku nne zilizopita miji mbalimbali ya Marekani kuanzia Minneapolis hadi New York, Atlanta mpaka Houston na Milwaukee hadi Los Angeles imekumbwa na maandamano na ghasia kubwa baina ya raia wanaoandamana, na polisi. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika baadhi ya machafuko hayo na kunashuhudiwa ghasia na hata oporaji wa...
5 years ago
CCM Blog30 May
KIFO CHA MWAFRIKA GEORGE FLOYD: MAANDAMANO YATANDA KOTE MAREKANI KUDAI HAKI
Mwendesha mashtaka akizungumzia makosa ya mauaji na kuua bila kukusudia.Waandamanaji wakusanyika nje ya Ikulu pamoja na maeneo mengine juu ya kifo cha raia mweusi George Floyd.Waandamanaji wanakabiliana na polisi katika miji mbalimbali nchini Marekani juu ya mauaji ya raia mweusi wa Marekani ambaye hakuwa na silaha aliyekufa mikononi mwa polisi huko Minneapolis.Gavana wa Minnesota amesema kwamba kifo cha George Floyd aliyekuwa kizuizini kimeonesha mauaji ya kiholela.New York, Atlanta na...
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
George Floyd: 'Janga la ubaguzi' lilisababisha kifo, waambiwa waombolezaji
Mwanasheria wa George Floyd amewaambia waandishi wa habari kuwa ''janga la ubaguzi '' limesababisha kifo chake.
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Kifo cha George Floyd: Mizizi ya ubaguzi inapandikizwa tangu utotoni
Jane Elliott ni mwalimu nchini Marekani ambaye amekuwa akifundisha masomo juu ya ubaguzi kwa zaidi ya miaka 50. Amekuwa akitumia mifano rahisi kuonyesha namna watu wanavyorithi tabia ya ubaguzi.
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Maandamano ya amani dhidi ya kifo cha George Floyd
Mwangalie wa pembeni yako umwambie unampenda, matumaini mapya na mabadiliko ndio yanahitajika sasa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania