Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDAMANO YA KULAANI UKATILI WA POLISI YA MAREKANI YAFANYIKA KENYA NA NIGERIA

Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, NigeriaMiji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.Katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi waandamanaji walikusanyika nje ya ubalozi wa Marekani jijini hapo huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kulaani jinai hiyo. Baadhi ya mabango hayo yalikuwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani

Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Maandamano yafanyika miji tofauti Marekani licha tahadhari ya kutotoka nje kutangazwa.

Amri ya kutotoka nje imetangazwa katika miji kadhaa nchi Marekani, kukabiliana na ghasia zilizosababishwa na kilo cha mtu mweusi aliyekamatwa na polisi.

 

10 years ago

GPL

POLISI WA MAREKANI WAENDELEZA UKATILI DHIDI YA RAIA WEUSI

Harlena Michelle Cooks alipokuwa akisukumwa na polisi hao (hawapo pichani). Waandamanaji wakipinga ubaguzi wa rangi. Video mpya imeenea mitandaoni ikiwaonesha Maofisa polisi wawili wa Kimarekani mjini Barstow huko California, Marekani wakimsukuma chini mwanamke mwenye ujauzito wa miezi 8 mwenye asili ya Kiafrika huku mikono yake ikiwa imefungwa kamba nyuma ya mgongo. Tukio hilo linadaiwa kutokea hivi karibuni wakati polisi hao...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Vifo 11 vilivyosababisha maandamano dhidi ya polisi Marekani

Kifo cha George Floyd, ambacho video zake zilisambaa zikionyesha polisi akimkaba shingoni mwake na baada ya muda mfupi akafariki. Raia weusi wako katika hatari ya kuuwawa mara tatu zaidi ya watu weupe, takwimu zinaeleza.

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO MAKUBWA KUFUATIA JINAI ZA POLISI WA MAREKANI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI

Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusiUbaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.Pamoja na hayo suala ambalo katika miaka ya hivi karibuni limekuwa likiakisiwa zaidi, ni ukatili usio na ukomo wala mpaka wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika jambo ambalo limekuwa likitia huzuni kila siku ndani ya nchi hiyo. Katika malalamiko makubwa kufuatia kuuawa mikononi mwa polisi mzungu, Mmarekani mmoja mweusi asiye na...

 

11 years ago

Michuzi

HAWZAT IMAM SWADIQ KUONGOZA MAANDAMANO YA KULAANI MAUAJI YA HUKO GAZA

Na Rose Masaka MAELEZO-Dar es Salaam
TAASISI ya  Hawzat Imam Swadiq wameandaa maandamano ya kulaani mashambulizi yanayofanywa na Vikosi vya Israel dhidi ya wananchi wa Palestina wasio na hatia.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Taasisi hiyo Profesa Abdul Shariff, maandamano hayo yanalenga kuueleza ulimwengu kuwa wananchi wa Tanzania wanalaani mauaji yanayoendelea huko Gaza Palestina.
Amesema kuwa maandamano hayo  ambayo yatafanyika siku ya Ijumaa  Julai 25 mwaka huu yanatarajia kuanzia Kituo cha...

 

10 years ago

Michuzi

POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI NAIROBI, KENYA

Wanafunzi wakikimbia hovyo baada ya mabomu ya machozi kupigwa.Wanafunzi wakisukuma uzio wa shule la uwanja.Mmoja wa polisi aliyejeruhiwa katika vurugu za leo.Wanafunzi na baadhi ya wanaharakati wakiwanyooshea fimbo wanausalama waliokuja kuzuia vurugu hizo.

JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyang'anywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...

 

10 years ago

GPL

POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NCHINI KENYA

Wanafunzi wakikimbia hovyo baada ya mabomu ya machozi kupigwa. Wanafunzi wakisukuma uzio wa shule la uwanja.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yafanyika Venezuela

Maelfu ya watu wamefanya maandamano nchini Venezuela wakitaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani