Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAWZAT IMAM SWADIQ KUONGOZA MAANDAMANO YA KULAANI MAUAJI YA HUKO GAZA

Na Rose Masaka MAELEZO-Dar es Salaam
TAASISI ya  Hawzat Imam Swadiq wameandaa maandamano ya kulaani mashambulizi yanayofanywa na Vikosi vya Israel dhidi ya wananchi wa Palestina wasio na hatia.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Taasisi hiyo Profesa Abdul Shariff, maandamano hayo yanalenga kuueleza ulimwengu kuwa wananchi wa Tanzania wanalaani mauaji yanayoendelea huko Gaza Palestina.
Amesema kuwa maandamano hayo  ambayo yatafanyika siku ya Ijumaa  Julai 25 mwaka huu yanatarajia kuanzia Kituo cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tamko la THBUB kulaani mauaji na matukio ya uvunjifu wa sheria huko Tarime

Makao makuu ya THBUB_Luthuli st. DSM

Makao makuu ya THBUB barabara ya Luthuli jijini Dar.

Mhe. Bahame Nyanduga

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.

Tamko la THBUB_Kulaani mauaji na uvunjifu wa sheria.doc 

 

9 years ago

Global Publishers

Viongozi wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq watoa salamu za Krismas

IMG-20151223-WA0001

Sheikh Hemed Jalala akiongea na waandhishi wa habari (hawapo pichani).

IMG-20151223-WA0005

Sheikh Hemed Jalala akisisitiza jambo.

IMG-20151223-WA0004

IMG-20151223-WA0008Waandishi wa habari wakichukua matukio.

Viongozi wa Chuo cha Kiislam cha Imam Swadiq, watoa salamu za pongezi kwa Wakristo katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas.

Sheikh Hemed Jalala alisema: “Wakristo ni ndugu zetu kwa msingi mkuu wa ubinadamu, hivyo umoja wa kijamii na kitaifa unaunganishwa na ubinadamu na si itikadi.”

(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha)

 

5 years ago

BBCSwahili

Imam Bahloul: Mwanamke aliyefufua mjadala wa wanawake kuongoza ibada misikitini

Jina la msomi wa masuala ya Kiislamu Imam Bahloul lilirejelewa mara kwa mara Ijumaa iliopita baada ya swala ya Ijumaa.

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KULAANI UKATILI WA POLISI YA MAREKANI YAFANYIKA KENYA NA NIGERIA

Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, NigeriaMiji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.Katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi waandamanaji walikusanyika nje ya ubalozi wa Marekani jijini hapo huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kulaani jinai hiyo. Baadhi ya mabango hayo yalikuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya Imam:Msikiti wapekuliwa London

Polisi mjini London wamekuwa wakiupekua msikiti ili kuchunguza mauaji ya Imam mmoja wa zamani kutoka Syria.

 

11 years ago

Habarileo

Wapanga kuandamana Ijumaa kulaani mauaji ya Palestina

VYUO vya dini ya Kiislamu vya Hazrat Imam Sadiq vinatarajia kufanya maandamano ya kulaani vitendo wanavyofanyiwa Wapalestina. Maandamano hayo yatafanyika Ijumaa ya mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

GPL

T.F.S.C KUANDAA BONANZA KULAANI, KUPINGA MAUAJI YA ALBINO

Msemaji wa Temeke Family and Sports Club, Maulid Kisoma wa pili kutoka kulia akiongea jambo katika mkutano huo. Mwenyekiti wa Club hiyo, Hassan Mulajani,(wa kwanza kushoto) Katibu Mkuu wa  Club hiyo, Kassim Lumeta(wa pili kushoto) pamoja na Ernest Kimaya (kulia) Mwenyekiti wa Chama…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani