GWAJIMA AZIRAI AKIHOJIWA NA POLISI, NI KUFUATIA MANENO YA KASHFA DHIDI YA KADINALI PENGO

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam leo
Gwajima akizungumza na waandhishi wa habari alipowasili kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es Salaam Ijumaa Machi 27, 2015, kufuatia polisi kumtaka ajisalimishe mwenyewe
Gwajima, wakili wake, wafuasi na walinzi wake wakielekea kituo kikuu cha polisi kati Ijumaa Machi 27, 2015
Gwajima kabla ya kuzirai
Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amezirai Ijumaa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUHUSU TUHUMA ZA KASHFA NA MATUSI DHIDI YA KALDINARI PENGO

"Tumepokea malalamiko ya kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile WhatsApp na mingineyo kuna sauti...
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Gwajima azimia akihojiwa polisi
Asifiwe George na Humphrey Shao
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana akiitikia wito wa polisi uliomtaka kufika kutokana na tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Waandishi wa Mtanzania Jumamosi waliokuwa...
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Mar
Pengo amfikisha Gwajima polisi
Ni kwa tuhuma za kumkashifu, kumtukanaKova amtaka kujisalimisha haraka kituoni
NA MWANDISHI WETU
KIONGOZI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameingia matatani na sasa ametakiwa kujisalimisha polisi kwa ajili ya kuhojiwa.
Habari za kuaminika zinasema hatua ya Gwajima kutakiwa kujisalimisha polisi inatokana na tuhuma za kutoa matamshi ya kashfa dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Taarifa ya Polisi wa Kanda Maalumu ya...
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...
9 years ago
MichuziKADINALI PENGO AZUNGUMZIA SWALA LA UKATILI WA JINSIA
Wakati Tanzania kesho inazindua kampeni ya kuzuia ukatili wa kijinsia, Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu Dar es Salam, Mwadhama, Polycarp Kadinali...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
5 years ago
CCM Blog30 May
MAANDAMANO MAKUBWA KUFUATIA JINAI ZA POLISI WA MAREKANI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI

9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI
10 years ago
GPL
GWAJIMA AMETUMWA KUMTUSI PENGO