Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi.
Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .
Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/04/150504132657_burundi_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Ghasia Burundi
Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.
Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.
viagra online pharmacy in australia BBC
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 May
Watu 2 wauawa katika maandamano Burundi
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Watu 5 wauawa kufuatia maandamano Niger
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Watu wanane wauawa Burundi
BUNJUMBURA, BURUNDI
WATU wanane wameuawa kwa risasi kwenye mji mkuu wa Burundi, Bunjumbura usiku wa kuamkia jana.
Mji huo umekuwa ukikumbwa na mashambulizi ya risasi, milipuko ya mabomu tangu kumalizika kwa uchaguzi wa rais wenye utata miezi mitatu iliyopita.
Kwa mujibu ya walioshuhudia baadhi ya miili, ambayo ilikutwa katika barabara za vitongoji vya kaskazini mwa Bunjumbura ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, pamoja na alama za kamba kuashiria kuwa walifungwa nazo kabla ya...
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Watu 7 wauawa kinyama Burundi
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Watu saba wauawa kwa risasi Burundi
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mmoja afa katika maandamano Burundi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--7RVYe9Nk6k/VUunDi-y3RI/AAAAAAAAAco/8jDrnAUFo64/s72-c/44.jpg)
WANNE WAFARIKI KATIKA MAANDAMANO BURUNDI
![](http://3.bp.blogspot.com/--7RVYe9Nk6k/VUunDi-y3RI/AAAAAAAAAco/8jDrnAUFo64/s640/44.jpg)
Watu wanne wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika maandamano ya kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania Urais kwa Mhula wa tatu.Mamia ya watu wamejitokeza kwenye maandamano hayo huku baadhi wakichoma moto baadhi ya vitu katika nchi hiyo.Siku ya jumanne Mahakama ya Katiba ilikubali kuwa Rais Nkurunziza anaweza kugombea urais ambapo ilisema ni halali yeye kuwania tena urais kwa kipindi kingine cha miaka mitano.Katika hotuba yake...
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Mtu mmoja auawa katika maandamano Burundi