Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mmoja afa katika maandamano Burundi

Mtu mmoa amekufa na wengine tisa kujeruhiwa katika maandamano yanaendelea kupamba moto nchini Burundi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja auawa katika maandamano Burundi

Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa baada ya kupigwa risasi na maafisa wa polisi kufuatia ghasia kati ya polisi na waandamanaji mjini Bujumbura

 

10 years ago

Michuzi

WANNE WAFARIKI KATIKA MAANDAMANO BURUNDI

Vijana wakiwa katika Maandamano nchini Burundi
Watu wanne wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika maandamano ya kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania Urais kwa Mhula wa tatu.Mamia ya watu wamejitokeza kwenye maandamano hayo huku baadhi wakichoma moto baadhi ya vitu katika nchi hiyo.

Siku ya jumanne Mahakama ya Katiba ilikubali kuwa Rais Nkurunziza anaweza kugombea urais ambapo ilisema ni halali yeye kuwania tena urais kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Katika hotuba yake...

 

10 years ago

StarTV

Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi.

Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .

Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.


Ghasia Burundi

Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.

Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.

viagra online pharmacy in australia BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 2 wauawa katika maandamano Burundi

Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .

 

5 years ago

BBCSwahili

Maandamano London: Tulimsaidia mtu mmoja kutouwawa katika maandano ya Kifo cha George Floyd

Patrick Hutchinson amepongezwa sana baada ya picha yake akimsaidia mtu aliyejaruhiwa kusambaa, wakati wa makabiliano kati ya wafuasi wa Black Lives Matter dhidi ya wale wanaounga

 

9 years ago

Mwananchi

Mmoja afa, watano wajeruhiwa Tarime

Wakati mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akiwasili mjini Tarime leo, mtu mmoja amekufa, saba wamejeruhiwa katika vurugu zilizohusisha wafuasi wa CCM na Chadema katika jimbo la Tarime Vijijini.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wafukiwa kifusi, mmoja afa

Wachimbaji 11 wa dhahabu wameokolewa kwenye mashimo yaliyopo Nyangarata wilayani hapa, baada ya mashimo hayo kutitia mara mbili, huku mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika akiopolewa akiwa amekufa.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa

Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Muhamed Khatib Mkombalaguha amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Michuzi

Mtu mmoja afa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana mkoani Pwani

Na John Gagarini, Kibaha 
MLINZI Bakari Mape (70) mkazi wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani ameuwawa kwa kunyongwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watu hao ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja walimwua mlinzi huyo kwa kumvunja shingo kisha kuiba kwenye duka ambalo mlinzi huyo alikuwa akililinda.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani