Watu wanane wauawa Burundi
BUNJUMBURA, BURUNDI
WATU wanane wameuawa kwa risasi kwenye mji mkuu wa Burundi, Bunjumbura usiku wa kuamkia jana.
Mji huo umekuwa ukikumbwa na mashambulizi ya risasi, milipuko ya mabomu tangu kumalizika kwa uchaguzi wa rais wenye utata miezi mitatu iliyopita.
Kwa mujibu ya walioshuhudia baadhi ya miili, ambayo ilikutwa katika barabara za vitongoji vya kaskazini mwa Bunjumbura ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, pamoja na alama za kamba kuashiria kuwa walifungwa nazo kabla ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Watu 7 wauawa kinyama Burundi
10 years ago
StarTV05 May
Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi.
Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .
Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/04/150504132657_burundi_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Ghasia Burundi
Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.
Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.
viagra online pharmacy in australia BBC
10 years ago
BBCSwahili04 May
Watu 2 wauawa katika maandamano Burundi
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Watu saba wauawa kwa risasi Burundi
11 years ago
BBCSwahili30 Mar
Wanane wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdg3z6quiFJ74ppqPXzk5GAI9L8ZZwvLYEtQDrc1n3Uoj8vL4Kg*y4XxPwr7Yly0cQd1oGzm8TbsDKJLZmtu7RBW/246FC8B2000005782897672imagea2_1420494615258.jpg?width=750)
ASKARI WANANE WA IRAQ WAUAWA KWA KUWAPELELEZA ISIS
10 years ago
StarTV15 Apr
Watu wanane wafariki, 15 kujeruhiwa kwa Radi Kigoma.
Na Richard Katunka,
Kigoma.
Watu wanane wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kwenye mvua kubwa iliyonyesha mjini Kigoma kwa saa tatu.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni Dokta Fadhili Kibaya amewataja waliofariki kuwa ni pamoja na Yusuf Athuman, Hassan Ally, Fatuma Sley, Zamda Seif, Shukrani Yohana na Warupe Kapupa ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Kibirizi.
Mwalimu aliyefariki ametambuliwa kwa jina la...
11 years ago
Michuzi09 Feb
Mtuhumiwa aliyesakwa na Polisi kwa mauaji ya watu wanane Tarime akamatwa Tanga
Jambazi kuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyanganyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014 amekamatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe 06.02.2014 mkoani Tanga.
Akisimulia kukamatwa kwa jambazi huyo Kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa jioni ya Tarehe 06.02.2014 majira ya saa 1.30 na katika mahojiano ya awali ya jeshi la polisi mtuhumiwa huyo alikiri kuhusika na matukio ya...