Aua wazazi wake, achoma nyumba
SIMANZI kubwa imetanda katika Kijiji cha Roo, Kata ya Masama Mashariki wilayani Hai, Kilimanjaro, baada ya kijana mwenye umri wa miaka 32 kuwaua wazazi wake wawili kwa kutumia panga na shoka, kisha kuchoma moto nyumba yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO
WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32), anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba yao na kutokomea kusiko julikana. Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo, Kata ya Machame Mashariki, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba
NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...
9 years ago
VijimamboMWANAFAMILIA ACHOMA MOTO NYUMBA YAO PEMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm0D2VVh-yFfs86GxAQgA42mBCYhw4e8dteMTO-AmHYqp6NX30b0JoXx5j9T5Em1ZZZdpaan-PkfZdpm--Q*9ufr/WIVU2.jpg?width=650)
MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI
11 years ago
Habarileo01 Jul
Aua mpenzi wake, ajikata koromeo
MKAZI wa Mtaa wa Majengo ‘B’ mjini hapa, Cesilia Clement (22) ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu mwilini na mpenzi wake, aliyemtuhumu kutomjali baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamume mwingine. Mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina moja la Kanu, ambaye ni mkazi wa Kigoma naye amejijeruhi vibaya kwa kujikata koromeo, alipojaribu kujichinja baada ya kubaini kuwa amemuua mpenzi wake Cecilia.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Y0F-iYf0upw/VZOKOBX49FI/AAAAAAAAwzk/Bt5XtTJuQWc/s72-c/Black-couple-upset-scaled.jpg)
Wazazi wa Mke Wangu Wamehamia Kwangu Kabisa, Nyumba imegeuka Bujumbura
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y0F-iYf0upw/VZOKOBX49FI/AAAAAAAAwzk/Bt5XtTJuQWc/s640/Black-couple-upset-scaled.jpg)
Baba na mama wa mke wangu walikuja mwaka 2011 kututembelea hapa Dar, ilikua wakae mwezi mmoja then warudi kijijinilakini cha kushangaza hivi ninavyozungumza nanyi tarehe 30-06-2015 jumanne, hawajaondoka kurudi kijijini kwao hadi Leo miaka takribani minne tangu 2011 January
Kijijini kwao si kubaya kihivyo, kuna nyumba ya bati, kulikua na mifugo na mashamba lakini vyote hivyo vilikufa kutokana na kutelekezwa na mwenyewe ambao wamekimbilia kwetu Dar. Ni nyumba tu ndo ipo pale ila imekua...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-if3vY0RplMg/VJaOvdhQLFI/AAAAAAAAFd4/i5SIQY6e7w4/s72-c/ukatili%2B1.jpg)
BIBI HUYU AUA MJUKUU WAKE WA MIAKA 6 KWA KUMTUPA DIRISHANI WAKATI BASI LIKIWA KATIKA MWENDO KASI HUKO SINGIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-if3vY0RplMg/VJaOvdhQLFI/AAAAAAAAFd4/i5SIQY6e7w4/s640/ukatili%2B1.jpg)
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na mtoto wake mmoja na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani huku basi likiwa katika mwendo kasi na kusababisha kifo chake baada ya kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_lLITEcPF8o/U8ZiurAkz8I/AAAAAAAF2tU/IsDjezrFA70/s72-c/IMG-20140716-WA0000.jpg)
MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-_lLITEcPF8o/U8ZiurAkz8I/AAAAAAAF2tU/IsDjezrFA70/s1600/IMG-20140716-WA0000.jpg)
Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu.
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.
![](http://4.bp.blogspot.com/-10qH2Fj-ndk/U8Zj2y52sYI/AAAAAAAF2tg/vAw_5olN6uY/s1600/IMG-20140716-WA0001.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j0YfzuGRgjM/VmlmsipfPoI/AAAAAAAILb0/1iDj4D-tSsg/s72-c/pics%2Bevelina%2Bedwin.jpeg)
MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-j0YfzuGRgjM/VmlmsipfPoI/AAAAAAAILb0/1iDj4D-tSsg/s400/pics%2Bevelina%2Bedwin.jpeg)
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...