MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-j0YfzuGRgjM/VmlmsipfPoI/AAAAAAAILb0/1iDj4D-tSsg/s72-c/pics%2Bevelina%2Bedwin.jpeg)
MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_lLITEcPF8o/U8ZiurAkz8I/AAAAAAAF2tU/IsDjezrFA70/s72-c/IMG-20140716-WA0000.jpg)
MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-_lLITEcPF8o/U8ZiurAkz8I/AAAAAAAF2tU/IsDjezrFA70/s1600/IMG-20140716-WA0000.jpg)
Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu.
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.
![](http://4.bp.blogspot.com/-10qH2Fj-ndk/U8Zj2y52sYI/AAAAAAAF2tg/vAw_5olN6uY/s1600/IMG-20140716-WA0001.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wXm8jmQncmA/VjChSF0I61I/AAAAAAAIDKA/wWQW3dD64-8/s72-c/unnamed.png)
Mtoto Amepotea, anatafutwa na wazazi wake
![](http://1.bp.blogspot.com/-wXm8jmQncmA/VjChSF0I61I/AAAAAAAIDKA/wWQW3dD64-8/s1600/unnamed.png)
Miaka: 12, mweupe
Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.
Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WaTcdElurT4/VcTTODG0TAI/AAAAAAAHvNQ/4fGCnEci3Ko/s72-c/Untitled.png)
MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-WaTcdElurT4/VcTTODG0TAI/AAAAAAAHvNQ/4fGCnEci3Ko/s640/Untitled.png)
9 years ago
MichuziKIJANA EDIMUND JOSEF ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Amesoma shule ya Msingi...
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Mtoto mkimbizi akutanishwa na wazazi wake
11 years ago
Mwananchi11 May
Mtoto awaua kwa mapanga wazazi wake, atoweka
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mtoto akutana na wazazi wake miezi 10 baada ya kuzaliwa
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Nani Huyu Anayemtibulia Uwoya kwa Baba Mtoto Wake?!, Soma Alichokieleza
UBUYU: Irene Uwoya amefunguka haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram
Kuwa juu sio lazima utumie migongo ya watu,mwanamke kujiamin afu mmbwa hawanisumbui kabisa ila fanya yote acha kumtumia msg za uwongo mme wangu ata kama tumetengana tuna mtoto!sooo plzzz kaa mbali na mim ,mim sijazoea uswahili na bishana na pesa sio maneno!ila narudia tena acha kumtumia mme wangu msg za kiseee kama mnatakana fanyeni bila kunitaja tena hamtaona naongea!nazan umenielewa vzuri sina haja...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3zQ8KT379nU/U2eaipznqeI/AAAAAAAFfsg/-3olPB89EHw/s72-c/New+Picture.bmp)
NDUGU HUYU ANATAFUTWA NA NGUGU YAKE WALIEPOTEZANA KWA MUDA MREFU
![](http://3.bp.blogspot.com/-3zQ8KT379nU/U2eaipznqeI/AAAAAAAFfsg/-3olPB89EHw/s1600/New+Picture.bmp)
TANGU MWAKA HUO HAJARUDI TENA NA HATUNA MAWASILIANO NAYE TENA. SHANGAZI REHEMA ALISHARUDI TANGU MWAKA 1997 NA BAHATI MBAYA AMEFARIKI MWEZI APRIL...