NDUGU HUYU ANATAFUTWA NA NGUGU YAKE WALIEPOTEZANA KWA MUDA MREFU

MIMI MARIDADI KILONZO KUTOKA MUHEZA, TANGA, TANZANIA NAMTAFUTA NDUGU YANGU ALIYEKUWA ANAITWA MWANAHAWA KILONZO, AMEZALIWA MWAKA 1986 (06 NOVEMBA) NA AKABADILISHA JINA NA KUITWA ROSE MICHAEL GAVIGAN WAKATI ALIPOCHUKULIWA NA SHANGAZI YETU REHEMA NGAMI (KILONZO MDHAM) NA MUME WAKE MICHAEL GAVIGAN KWENDA KUISHI NAYE UINGEREZA MWAKA 1993.
TANGU MWAKA HUO HAJARUDI TENA NA HATUNA MAWASILIANO NAYE TENA. SHANGAZI REHEMA ALISHARUDI TANGU MWAKA 1997 NA BAHATI MBAYA AMEFARIKI MWEZI APRIL...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

10 years ago
GPL
WOLPER: MIMI NI FREEMASON KWA MUDA MREFU SASA!
11 years ago
Michuzi
ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Msaada tutani Ankal, kuna anko wetu amepotea (pichani hapo). jina lake Amir Husein Binyaga ni mkazi wa Kiluvya amewahi kuishi Tanga majani mapana ana umri wa miaka 56 alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi hadi leo familia bado inamtafuta taarifa zipo kituo cha Polisi Kibaha, maili moja. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 0754322317 0754273711,0653768329,0718260177.
Shukrani.
10 years ago
Bongo526 Dec
Muda si mrefu utaanza kupiga na kupokea simu kwa WhatsApp!
11 years ago
GPL
MAMA AJIFANYA NESI, AAJIRIWA HOSPITALINI KWA MUDA MREFU, ADAKWA!
9 years ago
Michuzi
MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Christina Koch: Mwanamke aliyeishi kwenye anga za mbali kwa muda mrefu
10 years ago
StarTV09 Jan
Tatizo la Kukaimu kwa muda mrefu, TAMISEMI yapewa siku sita kujieleza
Na Seda Elias,
Dar es Salaam.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mahesabu ya Serikali za Mitaa LAAC imetoa siku sita kwa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kutoa majibu ya tatizo la watendaji wa Serikali kukaimu nafasi mbalimbali kwa muda mrefu.
Ni agizo la Mwenyekiti wa Kamati hiyo Rajab Mbaruk Mohamed wakati wa ukaguzi wa mahesabu ya Manispaa ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
Mwenyekiti huyo wa LAAC amesema tatizo la kukaimu nafasi nyeti katika Serikali limekuwa ni sugu kwenye...
10 years ago
CloudsFM07 Nov
USO WA EMINEM WABADILIKA BAADA YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWA MUDA MREFU.
Staa wa hip hop wa nchini Marekani,Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake.
Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.