Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Salaam aleikum Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Msaada tutani Ankal, kuna anko wetu amepotea (pichani hapo). jina lake Amir Husein Binyaga ni mkazi wa Kiluvya amewahi kuishi Tanga majani mapana ana umri wa miaka 56 alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi hadi leo familia bado inamtafuta taarifa zipo kituo cha Polisi Kibaha, maili moja. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 0754322317 0754273711,0653768329,0718260177.
Shukrani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Anamatatizo la kupoteleza Kumbukumbu.Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

 

11 years ago

Michuzi

NDUGU HUYU ANATAFUTWA NA NGUGU YAKE WALIEPOTEZANA KWA MUDA MREFU

MIMI MARIDADI KILONZO KUTOKA MUHEZA, TANGA, TANZANIA NAMTAFUTA NDUGU YANGU  ALIYEKUWA ANAITWA MWANAHAWA KILONZO, AMEZALIWA MWAKA 1986 (06 NOVEMBA) NA AKABADILISHA JINA NA KUITWA ROSE MICHAEL GAVIGAN WAKATI ALIPOCHUKULIWA NA SHANGAZI YETU REHEMA NGAMI (KILONZO MDHAM) NA MUME WAKE MICHAEL GAVIGAN KWENDA KUISHI NAYE UINGEREZA MWAKA 1993. 
TANGU MWAKA HUO HAJARUDI TENA NA HATUNA MAWASILIANO NAYE TENA. SHANGAZI REHEMA ALISHARUDI TANGU MWAKA 1997 NA BAHATI MBAYA AMEFARIKI MWEZI APRIL...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ndugu zake Msuya wamtega DPP

WIKI chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kumfutia mashitaka ya mauaji, mmoja kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya...

 

5 years ago

CCM Blog

NDUGU ZAKE FLOYD WAISHIKA MIGUU UN, WAIOMBA IWASAIDIE WAMAREKANI WEUS

Philonise FloydPhilonise FloydNduge zake George Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mzungu huko Marekani, wameuomba Umoja wa Mataifa kuwasaidia watu weusi wa Marekani na kusikiliza kilio chao.Philonise Floyd ambaye ni ndugu yake George Floyd jana alihutubia kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Geneva huko Uswisi kujadili ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi, akitoa wito wa kuundwa tume huru ya kufanya uchunguzi kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake - maiti kuchomwa moto Jumamosi

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30.  Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989. Familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama una fununu au kujua lolote kuhusiana na...

 

10 years ago

GPL

EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, ATUMA UJUMBE MZITO FACEBOOK AKIELEZA MAZURI ALIYOWAFANYIA

Ujumbe alioutuma Adebayor uliambatana na picha hii. STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor amewatolea uvivu ndugu zake ambao wamekuwa wakimwandama kwamba hawapi msada wowote mbali na utajiri  mkubwa alionao. Adebayor akipozi na mama yake mzazi. Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea...

 

10 years ago

Vijimambo

EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, AWATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA FACEBOOK JITIRIRIKIE HAPO CHINI

STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor amewatolea uvivu ndugu zake ambao wamekuwa wakimwandama kwamba hawapi msada wowote mbali na utajiri mkubwa alionao.

Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea familia yake.

Staa huyo pia aliwahi kukana tuhuma alizotupiwa na dada yake kwamba alimfukuza mama yaka mzazi kwenye nyumba yake kwa tuhuma za ushirikina...

 

9 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE NA NDUGU ZAKE NYUMBANI KWAKE KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM

 Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake. Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake. Padri Plasdus Ngabuma enzi za Uhai wake. Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani kwake Kijichi Dar es Salaam leo mchana. Majeneza yenye miili ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe na ndugu zake, Plasdus Ngabuma na Casablanga Haule yakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani