Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake - maiti kuchomwa moto Jumamosi

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30.  Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989. Familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama una fununu au kujua lolote kuhusiana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MICHAEL AGUSTINE LUKINDO MTANZANIA ALIYEFARIKI WISCONSIN WANATAFUTWA NDUGU ZAKE MAITI KUCHOMWA MOTO JUMAMOSI‏

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake. Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN

Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu ghrama za mazishi ni $6,000  jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo  Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299  Route ni 075000019  Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu msiba huu ni wetu sote chochote utakachokua nacho...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN‏

Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu ghrama za mazishi ni $6,000  Jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo  Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299  Route ni 075000019  Tafadhali ndugu zangu,...

 

11 years ago

Michuzi

MICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO MADISON, WISCONSIN

Mike Lukindo enzi ya uhai wake.
Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote zilizofanyika tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014 majivu yake walikabidhiwa familia yake kwa mtoto wa kwanza wa marehemu kwenda kuchukua majivu hayo. Mpaka mazishi yafanyike zilikua zinahitajika $6,000 pamoja na michango ya sisi tuliopo...

 

11 years ago

GPL

MICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO MADISON, WISCONSIN‏

Mike Lukindo enzi ya uhai wake. Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote zilizofanyika tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014 majivu yake walikabidhiwa familia yake kwa mtoto wa kwanza wa marehemu kwenda kuchukua majivu hayo. Mpaka mazishi yafanyike...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maiti za waathiriwa wa Ebola kuchomwa Liberia

Serikali ya Liberia imetaka miili yote ya watu waliopoteza maisha kutokana na Virusi vya Ebola kuchomwa moto.

 

10 years ago

Michuzi

NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Anamatatizo la kupoteleza Kumbukumbu.Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

 

9 years ago

StarTV

Makanisa matatu yavunjwa na kuchomwa samani zake.

 

Mfululizo wa uhalifu dhidi ya makanisa mbalimbali bado unaendelea katika Mkoa wa Kagera ambapo makanisa matatu yamevunjwa na samani zake kuchomwa moto ndani ya siku moja likiwa ni tukio la pili kutokea katika kipindi cha wiki mbili sasa.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa matukio hayo na kwamba jeshi la Polisi bado linaendelea na upelelezi kuhakikisha linawatia mbaroni wale wote wanaohusika na vitendo...

 

9 years ago

Habarileo

Gari lanusurika kuchomwa moto

WANANCHI wa Kata ya Embaseni wilaya ya Meru jana walifanya fujo na kutaka kuchoma gari la Utalii ambalo limekodishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Halmashauri ya wilaya ya Meru kwa madai ya kuwa lilibeba kura hewa na kutaka kuziingiza vituoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani