MICHAEL AGUSTINE LUKINDO MTANZANIA ALIYEFARIKI WISCONSIN WANATAFUTWA NDUGU ZAKE MAITI KUCHOMWA MOTO JUMAMOSI
Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake. Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMichael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake - maiti kuchomwa moto Jumamosi
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989. Familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama una fununu au kujua lolote kuhusiana na...
11 years ago
GPLWATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN
11 years ago
MichuziWATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN
11 years ago
GPLMICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO MADISON, WISCONSIN
11 years ago
MichuziMICHANGO IMESHINDIKANA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO IMEBIDI ACHOMWE MOTO MADISON, WISCONSIN
Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote zilizofanyika tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014 majivu yake walikabidhiwa familia yake kwa mtoto wa kwanza wa marehemu kwenda kuchukua majivu hayo. Mpaka mazishi yafanyike zilikua zinahitajika $6,000 pamoja na michango ya sisi tuliopo...
10 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Maiti za waathiriwa wa Ebola kuchomwa Liberia
10 years ago
MichuziNDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE
9 years ago
StarTV29 Sep
Makanisa matatu yavunjwa na kuchomwa samani zake.
Mfululizo wa uhalifu dhidi ya makanisa mbalimbali bado unaendelea katika Mkoa wa Kagera ambapo makanisa matatu yamevunjwa na samani zake kuchomwa moto ndani ya siku moja likiwa ni tukio la pili kutokea katika kipindi cha wiki mbili sasa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa matukio hayo na kwamba jeshi la Polisi bado linaendelea na upelelezi kuhakikisha linawatia mbaroni wale wote wanaohusika na vitendo...