EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, ATUMA UJUMBE MZITO FACEBOOK AKIELEZA MAZURI ALIYOWAFANYIA
![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTG3P7mAsrJHPMh9ZBsz5EEVNkD*5OpmDq7bpZYQRbM1eiO7zB42DDYZa7pDPiHoGFVNtwxDLMP1v6Bi3cyQaUwy/ADEBAYOR1.jpg)
Ujumbe alioutuma Adebayor uliambatana na picha hii. STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor amewatolea uvivu ndugu zake ambao wamekuwa wakimwandama kwamba hawapi msada wowote mbali na utajiri mkubwa alionao. Adebayor akipozi na mama yake mzazi. Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 May
EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, AWATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA FACEBOOK JITIRIRIKIE HAPO CHINI
![](http://api.ning.com/files/LDRZ*VdxUTHq6kh*YmWuM4XVW-X0fFUN6E5huDhEWkflZjcnopxdLB1rZHYF0SDzxmTgUEiOwAh4RYVvoUS*E1y1lpqlTHP9/adebayor.jpg)
Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea familia yake.
Staa huyo pia aliwahi kukana tuhuma alizotupiwa na dada yake kwamba alimfukuza mama yaka mzazi kwenye nyumba yake kwa tuhuma za ushirikina...
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Kajala Awatolea Uvivu Waliozikosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili
Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa...
10 years ago
Mwananchi11 Jan
Kikwete atuma ujumbe mzito Uchaguzi Mkuu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VbvHliDwf9Y/XvCLcoqzc7I/AAAAAAALu6c/lldVMfArMtQUMaBhkjrr1kLtpuN8B0ZtACLcBGAsYHQ/s72-c/18.jpg)
RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...
10 years ago
Habarileo12 Jan
Shein awatolea uvivu CUF
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna kundi au mtu mwenye uwezo wa kuipindua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au ile Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na atakayethubutu kuwaza au kupanga jambo hilo atakiona cha moto.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOJadcLo85Aq*-gp4x2ybwYrTmFwy*bF1IlOmgzlDr2FHAbSwLXPWF9zwvFCPxlCspk1iYkz9*fDoLgRw3leAxZk/mzeechilo.jpg?width=650)
MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Zitto awatolea uvivu wanaomwita kibaraka wa CCM
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Rais Kikwete awatolea uvivu Takukuru, DPP
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameijia juu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) na Jeshi la Polisi kwa kusema kuwa wana viherehere vya kukurupuka, kuwakamata watu na kuwafikisha mahakamani bila ushahidi unaojitosheleza.
Rais Kikwete alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, katika maadhimisho ya Siku ya Sheria ikiwa ni mara yake ya nane na ya mwisho kuhudhuria hafla hiyo akiwa kiongozi wa nchi.
Alisema ofisi ya DPP,...