Rais Kikwete awatolea uvivu Takukuru, DPP
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameijia juu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) na Jeshi la Polisi kwa kusema kuwa wana viherehere vya kukurupuka, kuwakamata watu na kuwafikisha mahakamani bila ushahidi unaojitosheleza.
Rais Kikwete alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, katika maadhimisho ya Siku ya Sheria ikiwa ni mara yake ya nane na ya mwisho kuhudhuria hafla hiyo akiwa kiongozi wa nchi.
Alisema ofisi ya DPP,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Jan
Shein awatolea uvivu CUF
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna kundi au mtu mwenye uwezo wa kuipindua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au ile Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na atakayethubutu kuwaza au kupanga jambo hilo atakiona cha moto.
11 years ago
GPLMZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Zitto awatolea uvivu wanaomwita kibaraka wa CCM
10 years ago
Bongo Movies04 May
Faiza Awatolea Uvivu Wanaoponda ‘Kivazi Chake’!
Staa wa Bongo Moive, Faiza Ally amewatolea uvivu watu wanaomponda kwa kivazi chake alichovalia kwenye ‘Zari All White Party’ iliyofanyika hivi majuzi, kwa kubandika picha akiwa na kivazi hicho mtandaoni na kufunguka haya;
“Bado napenda muonekano wangu hata mkiponda vipi! Nikiangalia picha zangu naona mm ndio kiboko yenu kudadeki maana kila kona it's all about me hahahaaa which is good I like that ..... sina tatizo na nyota wallah”
Nadhani ujumbe umefika.
Mzee wa...
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Kajala Awatolea Uvivu Waliozikosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili
Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa...
10 years ago
VijimamboWEMA SEPETU AWATOLEA UVIVU WANAOSEMA ANA MIGUU MIBAYA NA MAKOVU
Staa wa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao wameibuka kwa wingi mtandaoni wakiitoa karoso miguu ya staa huyo mara baada ya Wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi amabayo inaonyesha miguu yake.“Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni ya Wema Sepetu... na...
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Magufuli azidi kuibomoa CHADEMA Kilimanjaro, awatolea uvivu watendaji TANESCO
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AZIDI KUIBOMOA CHADEMA KILIMANJARO,AWATOLEA UVIVU WATENDAJI WA SHIRIKA LA UMEME NCHINI
Mgombea ...