Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete atuma ujumbe mzito Uchaguzi Mkuu

>Rais Jakaya Kikwete ametuma ‘ujumbe mzito’ dhidi ya watakaofanya vurugu ama kuvuruga Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu, akisema watachukuliwa hatua kali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, ATUMA UJUMBE MZITO FACEBOOK AKIELEZA MAZURI ALIYOWAFANYIA

Ujumbe alioutuma Adebayor uliambatana na picha hii. STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor amewatolea uvivu ndugu zake ambao wamekuwa wakimwandama kwamba hawapi msada wowote mbali na utajiri  mkubwa alionao. Adebayor akipozi na mama yake mzazi. Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI



Na Said Mwishehe, Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete na ujumbe mzito

Rais Jakaya Kikwete kesho ataambatana na ujumbe mzito wa marais wastaafu wa pande zote za Muungano, wake wa waasisi wa taifa na mawaziri wakuu wastaafu atakapokwenda kuzindua Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya watu 11 ambapo wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 27 Novemba, 2014.

Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Mkanyageni Mkoani Tanga baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster Na. T 410 BJD iliyokuwa ikitoka Tanga Mjini kuelekea Lushoto kugongana na Lori aina ya Scania Na. T 605...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKOA WA TABORA KUFUATIA AJALI ILIYOTOKEA HIVI KARIBUNI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Fatma Mwasa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 19 Agosti, 2014 katika Kijiji cha Mlogolo, Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora.
Ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha Mlogolo Wilayani Sikonge, ilihusisha basi la abiria la Kampuni ya Sabena lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza ambalo lililogongana uso kwa uso na basi lingine la...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MKE WA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Jaji Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mheshimiwa Damian Zefrin Lubuva kufuatia kifo cha Mke wake, Mama Martha Peter Lubuva kilichotokea tarehe 17 Januari, 2014 katika Hospitali ya Apollo iliyoko New Delhi nchini India alikopelekwa kwa matibabu akisumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. “Nimeshtushwa,...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu
Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba. Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo la damu (pressure). "Kifo...

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK AMETUMA UJUMBE MZITO

Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake. Mwanamitindo wa Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa chini ya ulinzi China. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani