NDUGU ZAKE FLOYD WAISHIKA MIGUU UN, WAIOMBA IWASAIDIE WAMAREKANI WEUS
Philonise FloydNduge zake George Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mzungu huko Marekani, wameuomba Umoja wa Mataifa kuwasaidia watu weusi wa Marekani na kusikiliza kilio chao.Philonise Floyd ambaye ni ndugu yake George Floyd jana alihutubia kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Geneva huko Uswisi kujadili ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi, akitoa wito wa kuundwa tume huru ya kufanya uchunguzi kuhusu...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
George Floyd: Trump ashutumiwa kugawanya Wamarekani huku maafisa wanaouhishwa na kifo cha Floyd wakishtakiwa tena
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Jinsi Wamarekani weusi wanavyokabiliwa kisheria?
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kifo cha Floyd: Wamarekani weusi wasema 'hawako salama'
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s_KR-9BAeIY/VQFY320X3zI/AAAAAAABdDE/31hVuNUncTA/s72-c/Tita%2B1.jpg)
NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-s_KR-9BAeIY/VQFY320X3zI/AAAAAAABdDE/31hVuNUncTA/s1600/Tita%2B1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uMSgK3loT74/U38A43NTXlI/AAAAAAAFkm4/_bgsq_vnvoc/s72-c/IMG-20140523-WA0000.jpg)
ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-uMSgK3loT74/U38A43NTXlI/AAAAAAAFkm4/_bgsq_vnvoc/s1600/IMG-20140523-WA0000.jpg)
Msaada tutani Ankal, kuna anko wetu amepotea (pichani hapo). jina lake Amir Husein Binyaga ni mkazi wa Kiluvya amewahi kuishi Tanga majani mapana ana umri wa miaka 56 alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi hadi leo familia bado inamtafuta taarifa zipo kituo cha Polisi Kibaha, maili moja. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 0754322317 0754273711,0653768329,0718260177.
Shukrani.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Ndugu zake Msuya wamtega DPP
WIKI chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kumfutia mashitaka ya mauaji, mmoja kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya...
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Waridi wa BBC: Miriam Mawira alizaliwa bila mikono, hutumia miguu yake kufanya kazi zake
9 years ago
Michuzi03 Sep
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Wachezaji mbalimbali duniani walivyozungumzia kifo cha Floyd