Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USO WA EMINEM WABADILIKA BAADA YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWA MUDA MREFU.

Staa wa hip hop wa nchini Marekani,Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake.Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Quick Rocka athibitisha kuwa na uhusiano na Kajala baada ya kukanusha kwa muda mrefu

Kajala na Quick2

Msanii wa Bongo fleva, Quick Rocka na muigizaji wa Bongo movie, Kajala Masanja hawakuwahi kuthibitisha wenyewe hadharani kuwa wana uhusiano wa kimapenzi licha ya kuwepo na tetesi kuwa ni wapenzi.

Kajala na Quick

Quick amejikuta akilazimika kukiri hadharani juu ya uhusiano wao alipokuwa akikanusha taarifa kuwa wameachana.

Akizungumzia sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao, Quick amesema;

“Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanapokuwa public sana ndio maneno...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI SITTA USO KWA USO WA WADADA WAWILI WALIOKAMATWA UWANJA WA NDEGE KWA MADAWA YA KULEVYA

 Wasichana waliokamatwa Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza akiwa na mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhani Waziri Sitta, akiondoka Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Waziri Sitta, akizungumza na waandishi wa habari wakati alipowasili Tazara.
Waziri Sitta, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili Tazara.-- Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta jana alifanya ziara Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Shirika la Usafirishaji la Reli (TAZARA) pamoja na Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ….

Najua umezoea kusikia zile headlines za wanamichezo kadhaa wakiingia katika shutuma za kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni dawa ambazo zimekatazwa kutumika katika michezo. Miongoni mwa wanamichezo ambao wamekuwa wakituhumiwa kutumia dawa hizo ni wanariadha na mabondia. Stori zilizopo katika headlines kwa sasa zinamuhusu staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shaktar Donetsk ya Ukraine Frederico […]

The post Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar yadhimisha siku ya kupambana, usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya duniani

01

Waandamanaji katika maadhimisho ya siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani wakipita mbele ya mgeni rasmi katika kiwanja cha Kombawapya. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

02

Rais wa watoto Tanzania  Ameir Haji Khamis akitoa ujumbe wa watoto na dawa za kulevya kwenye sherehe za siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani katika kiwana cha Kombawapya.

03

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib...

 

10 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YADHIMISHA SIKU YA KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

Na Rahma Khamis Maelezo Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe. Fatma Abdulhabib Fereji amesema dawa za kulevya ni janga  la Kidunia linalopigwa vita  na Mataifa yote Duniani.
Hayo ameyaeleza huko Kiwanja cha Kombawapya Zanzibar katika Maaadhimisho ya kupiga vita  Utumiaji na Usafirishaji pamoja na  Udhalililshaji wa Dawa za kulevya Duniani.
Amesema Zanzibar inakadiriwa kuwa na watumiaji wa dawa za kulevya zaidi ya 9000 idadi ambayo ni kubwa ukilinganisha na...

 

11 years ago

Mwananchi

MAADHIMISHO: Ray C alivyotiririsha machozi Mbeya kulaani matumizi dawa za kulevya

>Juni 26 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha siku ya kupiga vita matumizi na kusafirisha dawa za kulevya. Mwaka huu, maadhimisho hayo yalifanyika kitaifa mkoani Mbeya kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe ambako Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal alikuwa mgeni rasmi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani