WAZIRI SITTA USO KWA USO WA WADADA WAWILI WALIOKAMATWA UWANJA WA NDEGE KWA MADAWA YA KULEVYA

Wasichana waliokamatwa Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza akiwa na mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhani
Waziri Sitta, akiondoka Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Waziri Sitta, akizungumza na waandishi wa habari wakati alipowasili Tazara.
Waziri Sitta, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili Tazara.-- Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta jana alifanya ziara Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Shirika la Usafirishaji la Reli (TAZARA) pamoja na Shirika la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 Jan
WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

10 years ago
Habarileo10 Jun
Kinana uso kwa uso na mawaziri wawili
KATIBU Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ameahidi kukutana na mawaziri watatu kupata ufumbuzi wa mambo mbalimbali, ikiwemo suala la bei ya kahawa pamoja na uingizaji wa nyavu za uvuvi zisizofaa.
10 years ago
Michuzi19 Feb
WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
11 years ago
Michuzi
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo


10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
11 years ago
Michuzi
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

.jpg)