Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Akiwa kwenye ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Waziri mpya wa uchukuzi Samuel Sitta jana alikutana ana kwa ana na wadada waliokamatwa baada ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin waliyomeza tayari kuyasafirisha kwenda Hong Kong kwa ndege ya Emirates. Wadada hao wawili Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza mpaka wakati huo alikwishatoa pipi 78 wakati mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhanialikwishatoa pipi 86 ambapo kazi ya kuwachunguza ilikuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI SITTA USO KWA USO WA WADADA WAWILI WALIOKAMATWA UWANJA WA NDEGE KWA MADAWA YA KULEVYA

 Wasichana waliokamatwa Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza akiwa na mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhani Waziri Sitta, akiondoka Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Waziri Sitta, akizungumza na waandishi wa habari wakati alipowasili Tazara.
Waziri Sitta, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili Tazara.-- Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta jana alifanya ziara Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Shirika la Usafirishaji la Reli (TAZARA) pamoja na Shirika la...

 

11 years ago

Michuzi

WAPAKISTANI WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA WATOROKA NCHINI

Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux.
 Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa  wakiwa  na  Watanzania  wanaotuhumiwa kwa kukutwa  na  madawa ya kulevya wametoroka nchini. 
Watuhumiwa hao walikamatwa Februari 21, 2011wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya  shilingi  bilioni 6.2,  Mbezi Beach  maeneo ya  Jogoo  jijini Dar sa Salaam.Habari za uchunguzi ndani ya Mahakama Kuu zinasema kuwa, Jaji Grace Mwakipesile anayesikiliza kesi  hiyo ...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. SAMUEL SITTA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUISHAWISHI JAMII JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta pamoja na Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi wakijadili jambo wakati wa mkutano na wanahabariakiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani tarehe 23 Machi 2015
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta (MB) akiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 23 Machi, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA

Mwandishi wa habari wa kituo cha uhuru Fm Athumani Palla na mkewe Rukia Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa Ofisini kwake Upanga hapo jana jijini Dar.

 

9 years ago

Michuzi

ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI

Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii,  bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ana kwa ana na mwana wa gwiji wa taarab Tz

Mohammed Issa Matona ambaye ni mtoto wa gwiji wa taarabu Issa Matona anacheza karibu ala zote zinazojumuishwa kwenye taarab.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan.K :Mahasimu kuonana ana kwa ana

Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.

 

10 years ago

Michuzi

charles hilary ana kwa ana na kipa wa cameroun joseph-antoine bell jijini Malabo, equatorial guinea

 Mtangazaji mashuhuri wa BBC Swahili Charles Hilary (kati) akiwa na kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroun na klabu ya Marseille ya Ufaransa Joseph-Antoine  Bell pamoja na kocha wa Congo Brazaville Claude Le Roy walipokutana jijini Malabo, Equatorial Guinea kwenye michuzo ya kombe la Afrika. Bell ameshacheza katika michuzno ya kombe la dunia mara tatu (1982, 1990, 1994), na pia kwenye michuano ya Olimpiki 1984 Summer Olympics na kwenye kombe la African Cup of Nations. Mengi kumhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani