Ana kwa ana na mwana wa gwiji wa taarab Tz
Mohammed Issa Matona ambaye ni mtoto wa gwiji wa taarabu Issa Matona anacheza karibu ala zote zinazojumuishwa kwenye taarab.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA
Mwandishi wa habari wa kituo cha uhuru Fm Athumani Palla na mkewe Rukia Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa Ofisini kwake Upanga hapo jana jijini Dar.
9 years ago
MichuziANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI
Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii, bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.
11 years ago
BBCSwahili09 May
Sudan.K :Mahasimu kuonana ana kwa ana
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.
10 years ago
Michuzicharles hilary ana kwa ana na kipa wa cameroun joseph-antoine bell jijini Malabo, equatorial guinea
Mtangazaji mashuhuri wa BBC Swahili Charles Hilary (kati) akiwa na kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroun na klabu ya Marseille ya Ufaransa Joseph-Antoine Bell pamoja na kocha wa Congo Brazaville Claude Le Roy walipokutana jijini Malabo, Equatorial Guinea kwenye michuzo ya kombe la Afrika. Bell ameshacheza katika michuzno ya kombe la dunia mara tatu (1982, 1990, 1994), na pia kwenye michuano ya Olimpiki 1984 Summer Olympics na kwenye kombe la African Cup of Nations. Mengi kumhusu...
10 years ago
Vijimambo29 Jan
WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA
Akiwa kwenye ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Waziri mpya wa uchukuzi Samuel Sitta jana alikutana ana kwa ana na wadada waliokamatwa baada ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin waliyomeza tayari kuyasafirisha kwenda Hong Kong kwa ndege ya Emirates. Wadada hao wawili Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza mpaka wakati huo alikwishatoa pipi 78 wakati mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhanialikwishatoa pipi 86 ambapo kazi ya kuwachunguza ilikuwa...
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Kenyatta ana kwa ana na ICC
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu.
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Ana kwa ana na bi Sarah Obama
Huku Wakenya wanaposubiri kwa hamu kuwasili kwa Rais wa Marekani, Barack Obama, mnamo Ijumaa, jijini Nairobi ili kufungua mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kuna wengi wanaojiuliza iwapo atatembelea nyumbani alikozaliwa baba yake katika kijiji cha Kogelo,
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Ana kwa ana na Edward Lowassa
>Yafuatayo ni mahojiano ya Mwananchi na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa. Hata hivyo Lowassa hakuwa tayari kuzungumzia masuala yanayohusu uchaguzi mkuu ujayo na mambo yanayohusiana na hilo kwa sababu anatumikia adhabu ya kusimamishwa mwaka moja na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania