Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenyatta ana kwa ana na ICC

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA

Mwandishi wa habari wa kituo cha uhuru Fm Athumani Palla na mkewe Rukia Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa Ofisini kwake Upanga hapo jana jijini Dar.

 

9 years ago

Michuzi

ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI

Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii,  bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ana kwa ana na mwana wa gwiji wa taarab Tz

Mohammed Issa Matona ambaye ni mtoto wa gwiji wa taarabu Issa Matona anacheza karibu ala zote zinazojumuishwa kwenye taarab.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan.K :Mahasimu kuonana ana kwa ana

Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.

 

10 years ago

Michuzi

charles hilary ana kwa ana na kipa wa cameroun joseph-antoine bell jijini Malabo, equatorial guinea

 Mtangazaji mashuhuri wa BBC Swahili Charles Hilary (kati) akiwa na kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroun na klabu ya Marseille ya Ufaransa Joseph-Antoine  Bell pamoja na kocha wa Congo Brazaville Claude Le Roy walipokutana jijini Malabo, Equatorial Guinea kwenye michuzo ya kombe la Afrika. Bell ameshacheza katika michuzno ya kombe la dunia mara tatu (1982, 1990, 1994), na pia kwenye michuano ya Olimpiki 1984 Summer Olympics na kwenye kombe la African Cup of Nations. Mengi kumhusu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Akiwa kwenye ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Waziri mpya wa uchukuzi Samuel Sitta jana alikutana ana kwa ana na wadada waliokamatwa baada ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin waliyomeza tayari kuyasafirisha kwenda Hong Kong kwa ndege ya Emirates. Wadada hao wawili Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza mpaka wakati huo alikwishatoa pipi 78 wakati mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhanialikwishatoa pipi 86 ambapo kazi ya kuwachunguza ilikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Ana kwa Ana na Nape Nnauye Pt I

Karibu kwenye sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano yetu na Katibu Uenezi na Itikadi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania.
Ameeleza mengi akianza na Hali ya chama hivi sasa.
KARIBU

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete, Kagame ana kwa ana

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wamekutana ana kwa ana nchini Kenya.
Hatua hiyo imekuja huku ikiwa imepita miaka miwili tangu Tanzania na Rwanda ziingie katika vita ya maneno hasa baada ya Rais Kikwete kumshauri Kagame kukaa meza moja na kikundi cha waasi cha FDLR cha nchini humo.
Rais Kikwete alitoa ushauri huo kwa Rwanda wakati akizungumza katika kikao cha Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani