Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI

Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii,  bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ashukuru wananchi kwa kumchagua


Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Cosato Chumi akiwa amebebwa na wananchi wa Kijiji cha Isalavanu wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za wingi.Ndugu Chumi ametembelea jumla ya Vijiji 15  kwa muda wa siku mbili katika kata za Bumilayinga, Sao Hill, Isalavanu na Rungemba. Baada ya kuapishwa ataendelea katika kata zilizosalia ambazo ziko katikati ya Mji wa Mafinga. Mhe. Chumi  amesema yeye sasa ni mbunge wa wote waliompa kura na hata ambao hawakumpa kura,...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE COSATO CHUMI KUTATUA TATIZO LA MAJI KATIKA MJI WA MAFINGA LILOTUDUMI KWA MUDA MREFU.

 Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua chanzo maji cha ikangafu wakati wa ziara yake ya kutembelea vyanzo vya maji na matanki ya kuhifadhia maji Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua moja ya tanki la kuhifadhia maji.kushoto ni bw uhaula ,bw shaibu nnunduma mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa mafinga wakijadili jambo baada ya kukagua baadi ya vyanzo hivyo vya maji.
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini cosato chumi amefanya ziara ya kuangalia jinsi gani anaweza kutatua tatizo la...

 

9 years ago

CCM Blog

COSATO CHUMI AMALIZA TATIZO LA VITANDA HOSPITAL YA MAFINGA MJINI


Pichani Mbunge wa jimbo la Mafinga mji ni Cotato chumi akimkabidhi msaada wa  vitanda ,magodoro pamoja na vifaa mbalimbali  kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga dk Abdul Msuya juzi  baadhi ya waandishi wa habari wakifuatiliwa ugawaji wa vifaa hivyo wakati wa makabidhiano
 Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi vifaa hivyo kwa vitendo
Baadhi ya wadau na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM walihudhulia tukio hilo 
TATIZO la upungufu wa vitanda katika wodi ya akina mama na watoto...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA

Mwandishi wa habari wa kituo cha uhuru Fm Athumani Palla na mkewe Rukia Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa Ofisini kwake Upanga hapo jana jijini Dar.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan.K :Mahasimu kuonana ana kwa ana

Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ana kwa ana na mwana wa gwiji wa taarab Tz

Mohammed Issa Matona ambaye ni mtoto wa gwiji wa taarabu Issa Matona anacheza karibu ala zote zinazojumuishwa kwenye taarab.

 

10 years ago

Michuzi

charles hilary ana kwa ana na kipa wa cameroun joseph-antoine bell jijini Malabo, equatorial guinea

 Mtangazaji mashuhuri wa BBC Swahili Charles Hilary (kati) akiwa na kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroun na klabu ya Marseille ya Ufaransa Joseph-Antoine  Bell pamoja na kocha wa Congo Brazaville Claude Le Roy walipokutana jijini Malabo, Equatorial Guinea kwenye michuzo ya kombe la Afrika. Bell ameshacheza katika michuzno ya kombe la dunia mara tatu (1982, 1990, 1994), na pia kwenye michuano ya Olimpiki 1984 Summer Olympics na kwenye kombe la African Cup of Nations. Mengi kumhusu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Akiwa kwenye ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Waziri mpya wa uchukuzi Samuel Sitta jana alikutana ana kwa ana na wadada waliokamatwa baada ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin waliyomeza tayari kuyasafirisha kwenda Hong Kong kwa ndege ya Emirates. Wadada hao wawili Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza mpaka wakati huo alikwishatoa pipi 78 wakati mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhanialikwishatoa pipi 86 ambapo kazi ya kuwachunguza ilikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani