Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


COSATO CHUMI AMALIZA TATIZO LA VITANDA HOSPITAL YA MAFINGA MJINI


Pichani Mbunge wa jimbo la Mafinga mji ni Cotato chumi akimkabidhi msaada wa  vitanda ,magodoro pamoja na vifaa mbalimbali  kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga dk Abdul Msuya juzi  baadhi ya waandishi wa habari wakifuatiliwa ugawaji wa vifaa hivyo wakati wa makabidhiano
 Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi vifaa hivyo kwa vitendo
Baadhi ya wadau na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM walihudhulia tukio hilo 
TATIZO la upungufu wa vitanda katika wodi ya akina mama na watoto...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MBUNGE COSATO CHUMI KUTATUA TATIZO LA MAJI KATIKA MJI WA MAFINGA LILOTUDUMI KWA MUDA MREFU.

 Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua chanzo maji cha ikangafu wakati wa ziara yake ya kutembelea vyanzo vya maji na matanki ya kuhifadhia maji Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua moja ya tanki la kuhifadhia maji.kushoto ni bw uhaula ,bw shaibu nnunduma mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa mafinga wakijadili jambo baada ya kukagua baadi ya vyanzo hivyo vya maji.
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini cosato chumi amefanya ziara ya kuangalia jinsi gani anaweza kutatua tatizo la...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ashukuru wananchi kwa kumchagua


Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Cosato Chumi akiwa amebebwa na wananchi wa Kijiji cha Isalavanu wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za wingi.Ndugu Chumi ametembelea jumla ya Vijiji 15  kwa muda wa siku mbili katika kata za Bumilayinga, Sao Hill, Isalavanu na Rungemba. Baada ya kuapishwa ataendelea katika kata zilizosalia ambazo ziko katikati ya Mji wa Mafinga. Mhe. Chumi  amesema yeye sasa ni mbunge wa wote waliompa kura na hata ambao hawakumpa kura,...

 

9 years ago

Michuzi

ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI

Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii,  bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Michuzi

mdau cosato david chumi aibuka kidedea kura za maoni

 Mdau mkubwa wa Globu ya Jamii Cosato David Chumi ambaye ni afisa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akielekea jukwaani kuwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea katika kura za maoni katika kugombea Ubunge jimbo jipya la Mafinga mjini mkoani Iringa kwenye hafla iliyofanyika katika uwanja wa Changarawe.  Jimbo hilo limemegwea kutoka iliyokuwa Mufindi Kaskazini na kata moja ya Bumilayinga toka Mufindi Kusini na kuwa Mafinga mjini Mdau mkubwa wa Globu ya Jamii...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Kinana mjini Mafinga

5

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi wa Mafinga wakati akiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa .

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana na Bi.Mwigavillo Ngole ambaye amesafiri mwendo mrefu kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

 Wazee wa Kimila wakiwa uwanjani kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo walimpa Uchifu na kumtambua kwa jina la  Galiendela Matuga .

 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo akifungua...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA MAFINGA,KESHO KUUNGURUMA IRINGA MJINI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha wananchi wa Mafinga katika uwanja wa Polisi Mwembetogwa mkoani Iringa leo Septemba 27 kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mafinga katika uwanja wa Mafinga mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

KINANA amaliza ziara yake mkoa wa mjini magharibi Zanzibar

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi dawa kwa mganga mkuu wa hospitali ya jimbo la Mpendae Dr. Omar Shaban Amran wakati alipokabidhi sehemu  ya madawa kwa hospitali hiyo ambayo yametolewa  na mbunge wa jimbo la Mpendae Mh. Salum Turki kiasi cha makontena ya dawa  manne yenye thamani ya shilingi Bilioni Moja  na pointi Nne yatakayosaidia katika hospitali zote za Zanzibar, Kinana akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi amemalizia ziara yake leo katika mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

McDowall amaliza mafunzo ya Siku mbili na Maafisa Mawasiliano mjini Mtwara

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano toka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara Afisa Mawasiliano wa Ofisi ya Rais Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Kassim Nyaki akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani