Mkutano wa Kinana mjini Mafinga
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi wa Mafinga wakati akiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa .

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana na Bi.Mwigavillo Ngole ambaye amesafiri mwendo mrefu kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

Wazee wa Kimila wakiwa uwanjani kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo walimpa Uchifu na kumtambua kwa jina la Galiendela Matuga .

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo akifungua...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MKUTANO WA KINANA BUKOBA MJINI LEO



11 years ago
Michuzi
KINANA AHITIMISHA MKUTANO WAKE WA HADHARA KWA KISHINDO MJINI SINGIDA LEO



10 years ago
MichuziMKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE
11 years ago
Michuzi
KINANA AFANYA ZIARA WILAYA MPYA YA MKALAMA,KUUNGURUMA LEO LIVE STAR TV MKUTANO WA HADHARA MJINI SINGIDA

9 years ago
Michuzi
KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika. Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa vyama...
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa vyama...
9 years ago
CCM Blog
KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika.
Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa...
9 years ago
CCM BlogCOSATO CHUMI AMALIZA TATIZO LA VITANDA HOSPITAL YA MAFINGA MJINI
Pichani Mbunge wa jimbo la Mafinga mji ni Cotato chumi akimkabidhi msaada wa vitanda ,magodoro pamoja na vifaa mbalimbali kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga dk Abdul Msuya juzi



TATIZO la upungufu wa vitanda katika wodi ya akina mama na watoto...
10 years ago
Michuzi
Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ashukuru wananchi kwa kumchagua

Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Cosato Chumi akiwa amebebwa na wananchi wa Kijiji cha Isalavanu wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za wingi.Ndugu Chumi ametembelea jumla ya Vijiji 15 kwa muda wa siku mbili katika kata za Bumilayinga, Sao Hill, Isalavanu na Rungemba. Baada ya kuapishwa ataendelea katika kata zilizosalia ambazo ziko katikati ya Mji wa Mafinga. Mhe. Chumi amesema yeye sasa ni mbunge wa wote waliompa kura na hata ambao hawakumpa kura,...
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA MAFINGA,KESHO KUUNGURUMA IRINGA MJINI


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania