Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. SAMUEL SITTA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUISHAWISHI JAMII JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta pamoja na Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi wakijadili jambo wakati wa mkutano na wanahabariakiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani tarehe 23 Machi 2015
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta (MB) akiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 23 Machi, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI SITTA AZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Samuel Sitta akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi kabla ya kuanza kwa mkutano na wanahabari,wakati akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani ambayo hufanyika kila ifikapo Machi 23 kila mwaka.Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta akizyngumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Machi 23 ya kila mwaka, yenye kauli mbiu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini

PIX 1

Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba  akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.

PIX 3

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MPYA WA UCHUKUZI SAMUEL SITTA ALIKUTANA ANA KWA ANA NA WADADA WALIOKAMATWA BAADA YA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Akiwa kwenye ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Waziri mpya wa uchukuzi Samuel Sitta jana alikutana ana kwa ana na wadada waliokamatwa baada ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin waliyomeza tayari kuyasafirisha kwenda Hong Kong kwa ndege ya Emirates. Wadada hao wawili Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza mpaka wakati huo alikwishatoa pipi 78 wakati mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhanialikwishatoa pipi 86 ambapo kazi ya kuwachunguza ilikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA KWA JAMII KUTOPUUZA TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI

JAMII nchini imepewa wito wa kuacha kudharau taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya hewa nchini ili kupunguza uwezekano wa kutokea majanga makubwa.
Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, wakati akifungua warsha ya siku mbili kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hali hewa nchini (TMA).
Bendera ametoa wito huo siku mbili kabla ya TMA kutoa utabili wake wa hali ya hewa wa msimu wa Oktoba mpaka Desemba mwaka huu. Bendera alisema kuwa TMA imekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani