Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER: MIMI NI FREEMASON KWA MUDA MREFU SASA!

Staa wa bongo movie Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’. UPO? Mtoto mzuri katika tasnia ya uigizaji Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ amesema haoni sababu ya kuukana uanachama wa taasisi ya Wajenzi Huru (Freemason) kwani ni dini kama zilivyo zingine na kama katiba inavyoelekeza, kila mtu anayo haki ya kujiunga na dini au taasisi yoyote ya kuabudu kulingana na matakwa ya imani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu

Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.

 

"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke  nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: FLAVIANA MATATA AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU SASA KUITWA MRS MASSAWE

 Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe.Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015 katika kanisa la St.Joseph ikafuatiwa na sherehe iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Bongo5

Muda si mrefu utaanza kupiga na kupokea simu kwa WhatsApp!

WhatsApp inajipanga kuongeza upigaji na upokeaji simu (voice calls) kwenye app yake kwa mara ya kwanza. Watumiaji wa app hiyo wataweza kupiga simu kwa watu walionao kwenye contacts vile vile kama wanavyoweza kuwatumia ujumbe. Mtandao wa Uholanzi, AndroidWorld umeweka screenshots za majaribio ya huduma hiyo.

 

11 years ago

GPL

MAMA AJIFANYA NESI, AAJIRIWA HOSPITALINI KWA MUDA MREFU, ADAKWA!

Stori: Brighton Masalu na Andrew Carlos Hatari sana! Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas, mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 45 na 50, mkazi wa Tabata, Dar, ametiwa mbaroni kwa madai ya kughushi vyeti vya unesi kisha kufanya kazi ya uuguzi katika hospitali mbalimbali, akijishughulisha na upasuaji bila kuwa na utaalamu wa taaluma hiyo. Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas ametiwa mbaroni kwa madai...

 

11 years ago

Michuzi

NDUGU HUYU ANATAFUTWA NA NGUGU YAKE WALIEPOTEZANA KWA MUDA MREFU

MIMI MARIDADI KILONZO KUTOKA MUHEZA, TANGA, TANZANIA NAMTAFUTA NDUGU YANGU  ALIYEKUWA ANAITWA MWANAHAWA KILONZO, AMEZALIWA MWAKA 1986 (06 NOVEMBA) NA AKABADILISHA JINA NA KUITWA ROSE MICHAEL GAVIGAN WAKATI ALIPOCHUKULIWA NA SHANGAZI YETU REHEMA NGAMI (KILONZO MDHAM) NA MUME WAKE MICHAEL GAVIGAN KWENDA KUISHI NAYE UINGEREZA MWAKA 1993. 
TANGU MWAKA HUO HAJARUDI TENA NA HATUNA MAWASILIANO NAYE TENA. SHANGAZI REHEMA ALISHARUDI TANGU MWAKA 1997 NA BAHATI MBAYA AMEFARIKI MWEZI APRIL...

 

5 years ago

BBCSwahili

Christina Koch: Mwanamke aliyeishi kwenye anga za mbali kwa muda mrefu

Christina Koch: Mwana anga mwanamke aliyeishi kwenye anga za mbali kwa muda mrefu

 

10 years ago

StarTV

Tatizo la Kukaimu kwa muda mrefu, TAMISEMI yapewa siku sita kujieleza

Na Seda Elias,

Dar es Salaam.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mahesabu ya Serikali za Mitaa LAAC imetoa siku sita kwa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kutoa majibu ya tatizo la watendaji wa Serikali kukaimu nafasi mbalimbali kwa muda mrefu.

Ni agizo la Mwenyekiti wa Kamati hiyo Rajab Mbaruk Mohamed wakati wa ukaguzi wa mahesabu ya Manispaa ya Ilala jijini Dar Es Salaam.

Mwenyekiti huyo wa LAAC amesema tatizo la kukaimu nafasi nyeti katika Serikali limekuwa ni sugu kwenye...

 

10 years ago

CloudsFM

USO WA EMINEM WABADILIKA BAADA YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWA MUDA MREFU.

Staa wa hip hop wa nchini Marekani,Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake.Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.

 

10 years ago

GPL

WOLPER AZUA KIZAAZAA FREEMASON

Mwandishi Wetu KATIKA toleo lililopita la gazeti hili, ukurasa wake wa pili kulikuwa na habari yenye kichwa; Wolper: Mimi ni Freemason kwa muda mrefu sasa. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1HyK2oY

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani