Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto mkimbizi akutanishwa na wazazi wake

Kijana wa Syria ambaye kutoweka kwake hospitalini mjini Belgrade katika kambi ya wakimbizi barani Ulaya kulizua hisia kali miongoni mwa mitandao ya kijamii ameunganishwa tena na wazazi wake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

 

9 years ago

Michuzi

Mtoto Amepotea, anatafutwa na wazazi wake

Jina: Muhdini Ally Kature
Miaka: 12, mweupe 
Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.
Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto akutana na wazazi wake miezi 10 baada ya kuzaliwa

Hatimae wanandoa wamepata fursa ya kukutana na mtoto wao aliyezaliwa na mama wa kukodi

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto awaua kwa mapanga wazazi wake, atoweka

Kijana aliyetambulika kwa jina la Yusufu Njau (32) mkazi wa kijiji cha Roo Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, ameuawa kwa kuwakatakata mapanga wazazi wake na kisha kuchoma nyumba moto na kukimbia kusikojulikana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amekamatwa na polisi huko Utah Marekani akiendesha gari la wazazi wake

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO

Na Dixon Busagaga,Hai. 

WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32),  anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba  yao na kutokomea kusiko julikana.    Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo,  Kata ya Machame Mashariki, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

BINTI YETU KWENYE PICHA KWA JINA : NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA (11yrs) wa MOMELA MAJI YA CHAI-ARUSHA. ametoweka nyumbani tangu Jumapili 02 Agosti 2015. Alikuwa amevaa shati jeupe na suriali. Tafadhali ukimuona wasiliana nasiTel. 0758335751 /0763066520/0758423766

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani