Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA EDIMUND JOSEF ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

FAMILIA ya Josef Antoni Mloka inatangaza kupotelewa na kijana wao Edimund Josef (Pichani) mwenye umri wa miaka 23 mara ya mwisho aliondoka nyumbani  Julai 3 mwaka huu akiwa amevaa fulana ya rangi ya kijani na modo ya jinsi ya rangi ya bluu tangu siku hiyo tunamtafuta bila mafanikio.Edimund Josef ni mrefu wa wastani kwa rangi ni maji ya kunde anaupungufu wa akili alikua anaishi Kimara Bonjokwa kwa Mashiringi mtaa wa mjumbe Ally Wila jijini Dar es Salaam. 
Amesoma shule ya Msingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

 

9 years ago

Michuzi

Mtoto Amepotea, anatafutwa na wazazi wake

Jina: Muhdini Ally Kature
Miaka: 12, mweupe 
Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.
Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

BINTI YETU KWENYE PICHA KWA JINA : NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA (11yrs) wa MOMELA MAJI YA CHAI-ARUSHA. ametoweka nyumbani tangu Jumapili 02 Agosti 2015. Alikuwa amevaa shati jeupe na suriali. Tafadhali ukimuona wasiliana nasiTel. 0758335751 /0763066520/0758423766

 

11 years ago

GPL

HOFU YATANDA KIJANA ALIYEUA WAZAZI WAKE

Na Mwandishi Wetu, Moshi
BAADA ya wanadoa wawili, Shahidu Njau (60) na mkewe Minae Swai (57) kudaiwa kuuawa kinyama na Yusuf Njau (32),  anayeaminika kuwa ni mtoto wao, kwa  kuwacharanga kwa shoka Ijumaa iliyopita, hofu imetanda kijijini Masama Rao, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro yalipotokea mauaji hayo. Yusuf Njau anayedaiwa kuuwa wazazi wake kwa shoka Hofu hiyo imewakumba baadhi ya wazazi kijijini hapo ambao walidai...

 

11 years ago

Michuzi

KIJANA IBRAHIM SAID ANATAFUTWA NA NDUGUZE


Anaitwa IBRAHIM SAID
NI MKOMORO NA HAJUI KUONGEA KISWAHILINI MWANAFUNZI ANASOMA ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE, DAR.NI MWENYE UMRI WA MIAKA ISHIRINI. 
NI KIJANA MWENYE  MATATIFO YA AFYA YA AKILI.
KATOROKA NYUMBANI JUZI ALHAMIS MAJIRA YA ALFAJIRI
 Mara ya mwisho Alionekana Maeneo ya Magomeni  Mapipa,  Dar es salaam, akiwa Amevalia T.shirt Ya Bluu na jeans.
 Yeye ni Mwembamba, Mrefu kidogo na ni maji ya kunde. Atakaye Mwona Atoe Taarifa Kituo Cha Polisi Kilicho Karibu.

 

9 years ago

Vijimambo

TANGAZO BWANA GRATIAN EMMANUEL NSHEKANABO ANATAFUTWA NA MJOMBA WAKE.

Mr. Edward Ntoroma wa State House Tanzania, pamoja na Bi. Puwu Kagumsa wa Bukoba Tanzania wanamtafuta Ndugu yao Mr. Gratian Emmanuel Nshekanabo, Mr. Gratian alikuwa anaishi Miami. FL na kazi alikuwa anafanyia kwenye address hii 3101 Lorna Rd Apt 1322 Birmingham. Mr Gratian hajawahi kuwasiliana na familia yake kwa muda mrefu sasa hadi wamepatwa na wasiwasi. Yeyoye mwenye kujua taarifa ya  Mr. Gratian anaombwa amwambie anatafutwa na familia yake na anaweza kuwasiliana nao kwa #...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi wamfunga mnyororo kijana kwa miaka mitatu

>Unakumbuka masaibu ya mtoto, hayati Nasra Mvungi aliyeishi kwenye boksi miaka mitatu? Mkazi wa Mbondole, Wilaya ya Ilala, Uwesu Mansuri (28) naye ameishi kwa kufungwa mnyororo mguuni na wazazi wake kwa miaka mitatu kwa madai ya kulinda usalama wake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baba anapoingia mitini na michango ya harusi ya kijana wake!

KATIKA hali ya kawaida wazazi wa kijana au binti anayetarajia kuoa au kuolewa wao ndio wanaokuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha mtoto wao anafanikiwa vema katika maandalizi ya harusi mtoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani