WATOTO 8 WAKUTWA WAMEUAWA NDANI YA NYUMBA AUSTRALIA
Wakazi waishio jirani na eneo la mauaji hayo wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba hiyo mjini Cairns. WATOTO nane wamekutwa wameuawa kwenye nyumba moja katika mji wa Cairns eneo la Queensland kaskazini mwa Australia. Polisi nchini Australia wakiendelea na uchunguzi katika eneo hilo. Vyombo vya habari nchini humo vimesema kuwa watoto hao wote kati ya miezi 18 na miaka 15 walikuwa wamechomwa visu. Polisi wa eneo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Wafanyakazi wa TANESCO, Mbeya mke na mume wakutwa wamekufa ndani ya nyumba yao.
Watu wawili wafanyakazi shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Mbeya Ndugu Uswege Mwankuge (58) na Jusio Uswege (48) ambao ni mtu na mke wake wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao mtaa hayanga RRM jijini mbeya.Tukio hilo la kusikitisha limetokea leo jijini hapa ambapo inadaiwa kuwa wawili hao wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao usiku wa kuamkia Marchi 3 mwaka huu.Akizungumiza tukio hilo Balozi wa mtaa huo Jofrey Katuli amesema yeye alipigiwa simu majira ya saa 4 asubuhi kuwa Ndugu Uswege...
10 years ago
GPLMISS HONDURAS, DADA YAKE WAKUTWA WAMEUAWA
5 years ago
MichuziWATOTO WENYE UMRI WA MIAKA MITANO HADI 12 RAIA WA ETHIOPIA WAKUTWA WAMEHIFADHIWA KWENYE NYUMBA YA MTU BINAFSI MKOANI ARUSHA ...POLISI WATOA NENO
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watoto sita raia wa Ethiopia akiwemo mwenye umri wa miaka mitano baada ya kukuta wamehifadhiwa kwenye nyumba ya mtu binafsi eneo la Ngureso katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Akizungumzia tukio hilo leo Kamanda wa Polisi omkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa watoto hao wenye umri wa miaka mitano hadi 12 waligundulika Februari 20 mwaka huu kuhifadhiwa nyumbani kwa Amina Ally na Mohammed Mahamudu mkazi wa Ngusero...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba
NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Watoto wengine 11 wakutwa wamefichwa
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro
NA UPENDO MOSHA, HAI
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti.
Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.
Taarifa...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.
Kamanda Kiondo...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Watoto 8 wauawa nyumbani Australia
10 years ago
GPLMAUAJI YA WATOTO 8 AUSTRALIA, MAMA MZAZI ASHITAKIWA