Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wengine 11 wakutwa wamefichwa

Mambo mazito zaidi yamezidi kubainika mkoani Kilimanjaro baada ya polisi kugundua nyumba nyingine yenye watoto kumi na mmoja waliokusanywa kutoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kufundishwa dini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

NA UPENDO MOSHA, HAI
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti.
Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.
Taarifa...

 

10 years ago

GPL

WATOTO 8 WAKUTWA WAMEUAWA NDANI YA NYUMBA AUSTRALIA

Wakazi waishio jirani na eneo la mauaji hayo wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba hiyo mjini Cairns. WATOTO nane wamekutwa wameuawa kwenye nyumba moja katika mji wa Cairns eneo la Queensland kaskazini mwa Australia. Polisi nchini Australia wakiendelea na uchunguzi katika eneo hilo. Vyombo vya habari nchini humo vimesema kuwa watoto hao wote kati ya miezi 18 na miaka 15 walikuwa wamechomwa visu. Polisi wa eneo… ...

 

5 years ago

Michuzi

WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA MITANO HADI 12 RAIA WA ETHIOPIA WAKUTWA WAMEHIFADHIWA KWENYE NYUMBA YA MTU BINAFSI MKOANI ARUSHA ...POLISI WATOA NENO

Na Woinde Shizza,Arusha


JESHI  la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watoto sita raia  wa Ethiopia akiwemo mwenye umri wa miaka mitano baada ya kukuta wamehifadhiwa kwenye nyumba ya mtu binafsi eneo la Ngureso katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Akizungumzia tukio hilo leo Kamanda wa Polisi omkoani hapa Jonathan Shanna amesema kuwa watoto hao wenye umri wa miaka mitano hadi 12 waligundulika  Februari 20  mwaka huu  kuhifadhiwa nyumbani kwa Amina Ally na Mohammed Mahamudu mkazi wa Ngusero...

 

10 years ago

GPL

MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE

Na Makongoro Oging’ “Nisaidieni mwanangu awe kama watoto wengine,” ni maneno ya mama mzazi wa mtoto Azimina Abdallah (miezi 11),  mkazi wa Zanzibar, Unguja anayeishi kwa mateso na maumivu makali kutokana na jicho kuvimba tangu azaliwe. Kwa sasa mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Amina Mbaruku anahangaika naye huku baba yake akidaiwa kutoonekani kwa muda mrefu, hivyo kuchukua uamuzi wa kuiomba jamii imsaidie....

 

10 years ago

GPL

VIFO VYA WATOTO WENGINE WAWILI VYATIKISA DAR!

Stori: Haruni Sanchawa
NImajonzi tena! Simanzi kubwa ilitawala kwa wakazi wa Jiji la Dar hususan Ukonga Mazizini kufuatia familia ya Emanuel Chadaha kufiwa na watoto wao wawili, Boniface  (6) na Kelvin (4) katika tukio moja la kuzama kisimani. Majeneza yaliyobeba miili ya watoto hao yakiandaliwa kwa ajili ya mazishi. Vifo hivyo ambavyo vimeacha historia ya kusikitisha, vilitokea Mei 23, mwaka huu tena kwa  mateso makubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin

 

10 years ago

Bongo5

Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’

Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]

 

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI

 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Michael John akizungumza juu ya Upungufu wa vitamini na Baadhi ya Madini muhimu kama Vitamini A, folate, Madini chuma Zinki na madini joto ni chazo cha vifo kwa Watoto chini ya miaka Mitano na chanzo kikubwa cha maradhi mbalimbali kote Duniani, kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Alliance for Iproved Nutrition (GAIN) ,Marc van Amerngen katika mkutano uliofanyika  leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurungenzi Mtendaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani