VIFO VYA WATOTO WENGINE WAWILI VYATIKISA DAR!
![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwqQ2jT0a5IQmlJ14MUVBJRnmEl0svi-zDO3F6jUJMynaepIE3mjQrrCMMAqBKmH9H8sKlvMVR5UkkDOD3yl*Pzz/Watoto.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa NImajonzi tena! Simanzi kubwa ilitawala kwa wakazi wa Jiji la Dar hususan Ukonga Mazizini kufuatia familia ya Emanuel Chadaha kufiwa na watoto wao wawili, Boniface (6) na Kelvin (4) katika tukio moja la kuzama kisimani. Majeneza yaliyobeba miili ya watoto hao yakiandaliwa kwa ajili ya mazishi. Vifo hivyo ambavyo vimeacha historia ya kusikitisha, vilitokea Mei 23, mwaka huu tena kwa mateso makubwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wawili wafa vifo vya utata Dar
WATU wawili wamefariki Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la John Andrea (71) mkazi wa Maweni Temeke. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke Englibert Kiondo alisema tukio hilo lilitokea...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Siku ya Mtoto Njiti Duniani: Huduma za gharama nafuu zenye ufanisi katika kuzuia vifo vya watoto njiti Tanzania, inasema UNICEF na wadau wengine
World Prematurity Day press release – SWA FINAL Nov 17 2014.docx by moblog
10 years ago
GPLCCBRT YATOA ELIMU KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA, DAR
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CkikTYdzhG8/VTXoYuS7RTI/AAAAAAABsYo/dNVo0pwJHh0/s72-c/RC%2B1.jpg)
RC DAR-ES-SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-CkikTYdzhG8/VTXoYuS7RTI/AAAAAAABsYo/dNVo0pwJHh0/s1600/RC%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ox5EJ6YxCIo/VTXobnbwGNI/AAAAAAABsYw/SW7fbO7UJVE/s1600/RC%2B2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-1-768x432.jpg)
MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01-1-768x432.jpg)
NA FARIDA SAIDY MOROGORO
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.
Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lUR41b1cf4M/VTUqcPW3qoI/AAAAAAAHSJ4/5_j5ZZbHGlo/s72-c/RC%2B-1.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE
![](http://3.bp.blogspot.com/-lUR41b1cf4M/VTUqcPW3qoI/AAAAAAAHSJ4/5_j5ZZbHGlo/s1600/RC%2B-1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8QABSGzpajk/VTUqbE-l-qI/AAAAAAAHSJo/-YY7WKyCtKI/s1600/RC%2B-%2B2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Deo-Filikunjombe.jpg)
MIILI YA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENGINE WAWILI YAAGWA DAR