Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS HONDURAS, DADA YAKE WAKUTWA WAMEUAWA

Miss Honduras, Maria Jose Alvarado (kulia) akiwa na dada yake Sofia Trinidad enzi za uhai wao. Miss Honduras, Maria Jose Alvarado aliyekuwa anatarajia kushiriki Miss World jijini London.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATOTO 8 WAKUTWA WAMEUAWA NDANI YA NYUMBA AUSTRALIA

Wakazi waishio jirani na eneo la mauaji hayo wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba hiyo mjini Cairns. WATOTO nane wamekutwa wameuawa kwenye nyumba moja katika mji wa Cairns eneo la Queensland kaskazini mwa Australia. Polisi nchini Australia wakiendelea na uchunguzi katika eneo hilo. Vyombo vya habari nchini humo vimesema kuwa watoto hao wote kati ya miezi 18 na miaka 15 walikuwa wamechomwa visu. Polisi wa eneo… ...

 

10 years ago

Bongo5

Miss Hondurus 2014 apotea, boyfriend wa dada yake akamatwa!

Miss Hondurus 2014, Maria Jose Alvarado hajulikani alipo. Polisi wanamshikilia boyfriend wa dada yake kama mshukiwa mkuu. Alvarado, 19, na dada yake Sofia Trinidad walipotea Alhamis iliyopita wakiwa kwenye mji wa Santa Barbara baada ya sherehe ya kuzaliwa ikiwa ni siku chache tu kabla hajaenda London kwaajili ya shindano la Miss World. Polisi wamemkamata mpenzi […]

 

10 years ago

Vijimambo

Mwili wa Miss Honduras 2014 wapatikana

Miss Honduras 2014, Maria Jose Alvarado. Photo Credits: Eye of Beauty  Habari zinazoripotiwa hivi punde na shirika la habari la AP kutoka TEGUCIGALPA, Honduras zinasema kuwa mwili aliyekuwa Miss Honduras 2014 pamoja na dada yake imekutwa ikiwa imezikwa karibu na SPA ambapo walikwenda siku ya Alhamis kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki wa kiume wa dada wa Miss huyo.
Miss Honduras 2014 Maria Jose Alvarado (19) na dada yake Sofia (23) walipotea Alhamis iliyopita, na Generali wa Polisi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Miss Honduras 2014 aliyetekwa nyara, akutwa amekufa

 Polisi wa Honduras wamesema wamepata miili inayodhaniwa kuwa ya mrembo wa nchi hiyo aliyepotea siku sita zilizopita pamoja na dada yake.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA DADA YAKE YAKE KIJIJINI CHATO LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa...

 

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

9 years ago

Dewji Blog

Huyu ndio mchezaji mkubwa aliyempoteza binamu yake katika shambulio la Paris na mwingine kunusurika kumpoteza dada yake

Lass-Diarra

Kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Marseille, Lassana Diarra.

Na Rabi Hume, wa  Modewjiblog

Shambulio limelotokea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi katika jiji la Paris, Ufaransa wakati mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Ufaransa na Ujerumani umeacha simanzi kwa kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Marseille, Lassana Diarra.

Katika shambulio hilo ambalo linakadiliwa kuua watu zaidi 150 limepelekea Diarra kumpoteza binamu yake, Asta Diakote ambae alikuwa moja...

 

9 years ago

BBCSwahili

Serena Willam amshinda dada yake

Serena williams amemshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele katika ushindi mara mbili wa kalenda ya kwanza ya Grand Slam.

 

10 years ago

GPL

AFUMANIWA GESTI NA MUME WA DADA YAKE

Hamida Hassan na Imelda Mtema
Binti aliyetajwa kwa jina la Biena mkazi wa Kawe jijini Dar, hivi karibuni alipata aibu baada ya kufumaniwa ndani ya gesti (ipo maeneo hayohayo) akiwa na mume wa dada yake. Biena akijificha baada ya fumanizi hilo. Chanzo makini kilichokuwa eneo la tukio kilieleza kuwa, Biena na mume wa dada yake aitwaye Abasi wamekuwa na uhusiano kwa muda mrefu kabla ya juzikati kunaswa laivu wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani