Mwili wa Miss Honduras 2014 wapatikana
Miss Honduras 2014, Maria Jose Alvarado. Photo Credits: Eye of Beauty Habari zinazoripotiwa hivi punde na shirika la habari la AP kutoka TEGUCIGALPA, Honduras zinasema kuwa mwili aliyekuwa Miss Honduras 2014 pamoja na dada yake imekutwa ikiwa imezikwa karibu na SPA ambapo walikwenda siku ya Alhamis kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki wa kiume wa dada wa Miss huyo.
Miss Honduras 2014 Maria Jose Alvarado (19) na dada yake Sofia (23) walipotea Alhamis iliyopita, na Generali wa Polisi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Miss Honduras 2014 aliyetekwa nyara, akutwa amekufa
10 years ago
GPLMISS HONDURAS, DADA YAKE WAKUTWA WAMEUAWA
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Mwili wa mshukiwa wa 3 wa ugaidi wapatikana
10 years ago
StarTV09 Mar
Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana
Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.
Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Mwili wapatikana uwanja wa ndege Kenya
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Kenya:Mwili washahidi aliyeuawa wapatikana
11 years ago
GPLTOP 5 MISS DAR CITY CENTER WAPATIKANA –MAISHA CLUB
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
VOTING HAS OPENED!You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE!Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP THREE contestants in the competition.
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Miss Ethiopia ndiye Miss Africa Usa 2014, Joy Kalemera awa wanne
Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.
Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda,...