Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana

Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.

Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kenya:Mwili washahidi aliyeuawa wapatikana

Uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha kuwa ni mwili wa shahidi wa mahakama ya ICC

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwili wapatikana uwanja wa ndege Kenya

Shughuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta zilisitishwa kwa muda asubuhi baada ya mwili wa kijana mdogo kupatikana karibu na eneo la kurukia ndege

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,shahidi wa ICC aliyeuawa ni nani?

Marehemu Yebei alitoweka tarehe 28 mwezi Disemba na mwili wake uliokuwa na majereha kupatikana ukiolea katika mto

 

11 years ago

Michuzi

Matukio ya Kuaga mwili wa askari aliyeuawa na majambazi Tabora

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda leo tarehe 30/04/2014 jioni amewaongoza waombelezaji na watendaji kutoka vyombo vya usalama, askari, taasisi za serikali na zisizo kiserikali za mkoa wa Tabora kuuaga mwili wa Askari PC JUMANNE ambaye aliyefariki baada kupigwa risasi na majambazi akiwa katika majukumu ya utendaji kazi. Mwili wa marehemu PC JUMANNE ukishushwa  kupelekwa ukumbini kwa ajili ya kuagwa RPC Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza  waombelezaji kuaga mwili wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mwili wa Msierra Leone aliyeuawa akitoroka wasota Muhimbili

WAKATI mwili wa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Abdul Koroma (33) aliyeuawa wakati akijaribu kutoroka ukiendelea kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala limesema linasubiri kujitokeza kwa ndugu wa marehemu wakati wowote kwa ajili ya kuja kuuchukua mwili huo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwili wa mshukiwa wa 3 wa ugaidi wapatikana

Mwili wa 3 umepatikana katika nyumba ya Saint-Denis iliovamiwa na maafisa wa polisi kuhusiana na shambulizi la Paris,kulingana na kiongozi wa mashtaka nchini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwili wa Miss Honduras 2014 wapatikana

Miss Honduras 2014, Maria Jose Alvarado. Photo Credits: Eye of Beauty  Habari zinazoripotiwa hivi punde na shirika la habari la AP kutoka TEGUCIGALPA, Honduras zinasema kuwa mwili aliyekuwa Miss Honduras 2014 pamoja na dada yake imekutwa ikiwa imezikwa karibu na SPA ambapo walikwenda siku ya Alhamis kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki wa kiume wa dada wa Miss huyo.
Miss Honduras 2014 Maria Jose Alvarado (19) na dada yake Sofia (23) walipotea Alhamis iliyopita, na Generali wa Polisi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

KESI YA MSUYA: Shahidi asema mwili ulikuwa na majeraha 26 ya risasi

Mwili wa mfanyabiashara tajiri wa Mererani aliyeuawa kwa kupigwa risasi, Erasto Msuya, ulikuwa na majeraha 26 ya risasi yaliyosababisha mfumo wa damu na upumuaji kusimama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi wa Ruto ICC auawa Kenya

Mwendesha Mkuu wa Mashtaka nchini Kenya ameamrisha kufanywan uchunguzi kufuatia mauaji ya shahidi mmoja kwenye kesi inayomkabili Naibu Rais William Ruto katika mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani