Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA MSUYA: Shahidi asema mwili ulikuwa na majeraha 26 ya risasi

Mwili wa mfanyabiashara tajiri wa Mererani aliyeuawa kwa kupigwa risasi, Erasto Msuya, ulikuwa na majeraha 26 ya risasi yaliyosababisha mfumo wa damu na upumuaji kusimama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana

Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.

Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Ulikuwa wakati mgumu kuona mwili wa Mandela

 Rais Jakaya Kikwete amesema amepata wakati mgumu alipouona mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo.

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUZI WA CHUO KIKUU DODOMA - UDOM AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA PILI HADI CHINI NA KUSABABISHA MAJERAHA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE.

 Hili ni ghorofa la chuo kikuu UDOM alipojirusha mwanafunzi huyo toka ghorofa ya pili. Muonekano wa ghorofa hilo alipojirusha mwanafunzi huyo. ======  ====  ==== Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mhaya, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11, chumba Namba 62, alijitupa kutoka ghorofa ya pili hadi chini na kusababisha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Suu Kyi asema uchaguzi ulikuwa wa haki

Kiongozi wa upinzani Myanmar Aung San Suu Kyi amesema uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili nchini humo haukuwa huru lakini ulikuwa wa haki.

 

10 years ago

Vijimambo

Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪

Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Washtakiwa hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally, Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram na Hazir Azad, wote raia wa Iran ambao walikamatwa kwenye Bahari ya Tanzania.
Wengine ni Buksh Mohamed,...

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi kesi ya rushwa ya Hakimu afariki dunia

UPANDE wa mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wameithibitishia Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba aliyetakiwa kuwa shahidi wa pili katika kesi ya rushwa ya Sh 50,000 inayomkabili Hakimu Grace Kivegele na Karani wake, Rose Kuhima wa Mahakama ya Mwanzo Buruguri, amefariki dunia.

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi kesi wizi wa simu JNIA afunguka

>Shahidi wa tatu katika kesi ya wizi wa simu zenye thamani ya Sh19 milioni, Koplo Frain amedai waliweka mtego uliofanikisha kuwakamatwa washtakiwa sita wakiwa na simu baada ya kuuziana.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi wa tatu kesi ya Ponda atoa ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa jumuiya na taasisi za kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na upande wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi atumia saa mbili kutoa ushahidi kesi ya Ponda

>Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, imeanza kusikilizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro na shahidi wa kwanza katika kesi hiyo ni aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Morogoro, Sadick Tindwa, ambaye kwa sasa amehamishiwa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kutoa ushahidi wake kwa zaidi ya saa mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani