Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAFUZI WA CHUO KIKUU DODOMA - UDOM AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA PILI HADI CHINI NA KUSABABISHA MAJERAHA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE.

 Hili ni ghorofa la chuo kikuu UDOM alipojirusha mwanafunzi huyo toka ghorofa ya pili. Muonekano wa ghorofa hilo alipojirusha mwanafunzi huyo. ======  ====  ==== Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mhaya, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11, chumba Namba 62, alijitupa kutoka ghorofa ya pili hadi chini na kusababisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAFUZI WA UDOM AJIRUSHA TOKA GHOROFA YA PILI HADI CHINI

Hili ni ghorofa la chuo kikuu UDOM alipojirusha mwanafunzi huyo toka ghorofa ya pili.
Muonekano wa ghorofa hilo alipojirusha mwanafunzi huyo. Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mwanafunzi mmoja wa ChuoKikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka…

 

10 years ago

Michuzi

Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini

 Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma SACP David Misime---Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini  tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30 (kumi na moja alfajiri).        Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime  ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) wafanya ziara Bungeni Mjini Dodoma

  VIONGOZI mbalimbali wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) leo wametinga Bungeni katika ziara ya kimafunzo na kupokelewa na Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Dk Fenela Mukangara. Wakiwa Bungeni viongozi hao ambao ni Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Mawaziri na Wabunge walijionea namna shughuli za Bunge zinavyoebndeshwa chini ya Spika Anna Makinda. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Febela Mukangara akipiga nao picha. Vijana hao walifika...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yachangia fedha Chuo Kikuu cha UDOM

Mkuu wa Hazina wa Benki ya Exim, Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula (Kulia) ikiwa ni sehemu ya mchango wa benki hiyo katika mfuko maalum wa chuo hicho maarufu kama Endowment Fund, wakati wa hafla fupi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Akishuhudia ni Meneja Msaidizi wa Masoko wa Benki hiyo, Bi Anita Goshashy 
BENKI ya Exim Tanzania imechangia fedha kiasi cha shilingi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA NDUGU JOSEPH MUNGAI KUHUSU UJENZI WA SHULE ZA KATA NA CHUO KIKUU CHA UDOM. 5/3/2015:

Sijawahi kuona tangu nizaliwe kuona baadhi ya watu wana mawazo ya mgando na akili ya kusahau lini Lowassa alijenga shule za kata? Mimi ndiye nilikuwa waziri wa elimu na utamaduni kwa miaka miaka minane.

Shule za sekondari za kata zilijengwa na nguvu za wananchi wenyewe serikali ya awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin W. Mkapa ndio ilihamazisha kila kata nchini nzima kuwe na sekondari waziri wa elimu nikiwa mimi Joseph Mungai.

Nikiwa waziri wa elimu na utamaduni wakati huo niliteua kikosi kazi...

 

9 years ago

Michuzi

Mahafali ya 9 ya Chuo Kikuu Ardhi Yafana, 1874 Wahitimu katika fani mbalimbali

 Mlau (Proctor) wa Chuo Kikuu Ardhi Prof.Joseph Lusuga Kilonde akiongoza andamano la wanataaluma (Academic Procession) wa Chuo Kikuu Ardhi Wakati wa Mahafali ya 9 ya Chuo hicho jijini Dar es salaam.Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Mhe. Cleopa Msuya (kulia) na Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof.Idrissa Mshoro wakiongoza  wahitimu wa Chuo hicho wakati wa Mahafali ya 9, mwaka 2015 jijini Dar es salaam. Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Mhe. Cleopa Msuya (katikati) na na viongozi wengine wa chuo hicho wakiwaongoza ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani