Mahafali ya 9 ya Chuo Kikuu Ardhi Yafana, 1874 Wahitimu katika fani mbalimbali
![](http://3.bp.blogspot.com/-AhO9Pt-G1cw/Vm54qqT3xHI/AAAAAAAApAQ/_A4d7wAi9M8/s72-c/Ardhi%2Bna%2B1..jpg)
Mlau (Proctor) wa Chuo Kikuu Ardhi Prof.Joseph Lusuga Kilonde akiongoza andamano la wanataaluma (Academic Procession) wa Chuo Kikuu Ardhi Wakati wa Mahafali ya 9 ya Chuo hicho jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Mhe. Cleopa Msuya (kulia) na Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof.Idrissa Mshoro wakiongoza wahitimu wa Chuo hicho wakati wa Mahafali ya 9, mwaka 2015 jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Mhe. Cleopa Msuya (katikati) na na viongozi wengine wa chuo hicho wakiwaongoza ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi waliofanya Vizuri wanyakua Tuzo mbalimbali
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-rMgwFtBQ00g/VIRZWNvqDlI/AAAAAAAA-nk/E9LAyTMNX10/s72-c/MKUU%2BWA%2BCHUO.jpg)
MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-rMgwFtBQ00g/VIRZWNvqDlI/AAAAAAAA-nk/E9LAyTMNX10/s1600/MKUU%2BWA%2BCHUO.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qhFLeolf9sM/VIRZU27nLGI/AAAAAAAA-ng/hywKAl8CAAY/s1600/MGENI%2BRASMI.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yf6rqYv4Pdo/VIRZUn4RaxI/AAAAAAAA-nY/QmoC9lkndoU/s1600/MKUU%2BWA%2BSKULI.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-v5t-DEMmAVw/VIRZYEOJ5yI/AAAAAAAA-nw/SS7KNrcdkNg/s1600/KIAPO%2BCHA%2BWAUGUZI.jpg)
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yafana Rwanda
Na Mwandishi Wetu
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimefanya mahafali yake ya 28 katika kituo cha uendeshaji kilichopo mjini Kibungo, Wilaya ya Ngoma nchini Rwanda.
Mahafali hayo yaliyofanyika Machi 20, mwaka huu yalihudhuriwa na wageni mbalimbali akiwamo Mkuu wa chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiro ambaye aliwatunuku wahitimu shahada mbalimbali.
Mahafali hayo yaliyohusisha wahitimu 25 wa shahada za uzamili, yamekuja baada ya kufanyika kwa mahafali ya 26 Novemba mwaka jana, Kibaha mkoani...
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Wanafunzi 1,044 wahitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wahitimu wa digrii ya elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu “Kuelekea modeli ya mfumo wa...
10 years ago
MichuziWANAFUNZI 1,044 WAHITIMU CHUO KIKUU ARDHI LEO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LhmxyhvgnX8/VIRZcSF3ZCI/AAAAAAAA-oM/Ww-VuC0Hpcc/s72-c/HUNDI.jpg)
Mahafali ya tano ya chuo kikuu cha St. John's mjini Dodoma yafana sana leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-LhmxyhvgnX8/VIRZcSF3ZCI/AAAAAAAA-oM/Ww-VuC0Hpcc/s1600/HUNDI.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-aloSPf7LvDY/VIRZZx-wdiI/AAAAAAAA-n4/tNZhcR6xau8/s1600/WAHITIM.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-S7ZOH3sdfXc/VIRZbmTb1aI/AAAAAAAA-oA/B6OBbXlA4v4/s1600/WAHTM.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-94tGk6KE4gM/VIRZb7nRsLI/AAAAAAAA-oE/xLr6U6BXT3U/s1600/WAHITIMU.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-hVwjZdXVIqo/VIRZelKPiVI/AAAAAAAA-og/fIBB0YLc_LU/s1600/WAAAANDAISHI.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Wahitimu 130 wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), watunukiwa tuzo kwa kufanya vizuri kwenye masomo
Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
![](http://1.bp.blogspot.com/-_4HrcjA_NL0/VICM-xiwLmI/AAAAAAAAw6w/No_oLTrixks/s1600/02%2BOnesmo%2BCharles.jpg)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jqor6Sfkefg/VF8oAfpiGqI/AAAAAAAGwHM/2Ot-geqYijU/s72-c/MMGL0078.jpg)
Wadau walamba Nondozz katika Mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro
![](http://3.bp.blogspot.com/-jqor6Sfkefg/VF8oAfpiGqI/AAAAAAAGwHM/2Ot-geqYijU/s1600/MMGL0078.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CY6PWxWJ9CM/VF8oEOLE3LI/AAAAAAAGwHU/gR2qftSsP_E/s1600/MMGM0027.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam
Na erasto Ching’oro
Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...