WANAFUNZI 1,044 WAHITIMU CHUO KIKUU ARDHI LEO
Wahitimu wa digrii ya elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu "Kuelekea modeli ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Wanafunzi 1,044 wahitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wahitimu wa digrii ya elimu jamii katika taaluma za maendeleo jamii wakishangilia baada ya Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya kuwatunuku katika mahafali ya 8 ya chuo hicho, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Cleopa Msuya akimtunuku Digrii ya Uzamifu, Rigobert Buberwa, wakati wa mahafali ya 8 ya Chuo hicho, Dar es Salaam. Buberwa ametunukiwa digrii hiyo baada ya kufanikiwa kufanya utafiti unaohusu “Kuelekea modeli ya mfumo wa...
10 years ago
MichuziWANAFUNZI 1,044 WALAMBA NONDOZZZ ZAO CHUO KIKUU CHA ARDHI LEO
9 years ago
MichuziMahafali ya 9 ya Chuo Kikuu Ardhi Yafana, 1874 Wahitimu katika fani mbalimbali
9 years ago
MichuziWahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi waliofanya Vizuri wanyakua Tuzo mbalimbali
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Wahitimu 130 wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), watunukiwa tuzo kwa kufanya vizuri kwenye masomo
Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...
10 years ago
Habarileo05 Dec
Wanafunzi 130 Chuo Kikuu Ardhi wapewa tuzo
CHUO Kikuu cha Ardhi kimewazawadia wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika fani mbalimbali, wamezawadiwa vyeti na zawadi kutoka kwa wadhamini ili kukuza elimu na kuongeza ushindani baina ya wanafunzi.
11 years ago
MichuziChuo Kikuu cha Bagamoyo chawaasa wahitimu wa kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu
Gachichi Gachere akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura.
Mariamu Zablon akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama...
10 years ago
Vijimambo22 Nov
WAZIRI MEMBE AWATAKA WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA KAMPALA KUTII SHERIA ZA NCHI
9 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam
Na erasto Ching’oro
Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...